Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata cocacola pia wanatoroka Russia japo wapo katika karibu nchi zote duniani?
 
Hii itakua the first most modern highway rest area probably in the whole region though najua private rest areas kama za Mombo, Chalinze zipo in hundreds nchi nzima kwa ajili ya regional buses

That spectacular bridge and Kili views though



 
Maana halisi ya regional hub,
Tanzania the gateway to Eastern, Southern and Central Africa

Tony254 bado unatafuta matumizi ya umeme wa Nyerere Dam?

Zaidi ya kilometers 1000 za electric SGR cutting across Burundi to DRC na ile ya Rwanda zitatumia umeme wa Tanzania tena usishangae zikatumia mpaka trains za TRC sababu najua chumi za hizi nchi haziwezi kugharamia in ujenzi wa SGR na kununua coaches and locomotives

Naona TRC ikichukua lion share kwenye hii regional project, Tanzania domination is so visible here kwenye regional logistics
 
Burundi unajua Gdp yake ni $3 billion? Huwa mnatutishia na Burundi hadi nasikia kucheka. Gdp ya Kenya ni kubwa kushinda ya Burundi zaidi ya mara 35. Mradi ni tembo mweupe ukizingatia kwamba Burundi haina uwezo wa kifedha wa kujenga reli hio. Angalau DR Congo wana uwezo. Lakini jengeni tu yote ni maendeleo ya Afrika na sina tatizo nikiona Afrika ikisonga mbele.
 
Hii helicopter pia utapinga kwamba sio ya Russia iliyopigwa kombora safi takatifu ikaenda kuangukia huko mbele?
Hadi wewe umeamua kuwa chawa? Ina maana hujui assets nyingi za kivita walizonazo Ukraine ni Russian made? Wanajesh wa Ukraine wenyewe wapo trained kurusha ndege za soviet-era ndio maana Poland wanataka USA wawape US-made Poland then wao wawape Ukraine Soviet-Era. So unapooneshwa hata tank la Russian made limeliuliwa inawezekana likawa la Ukraine
 
Burundi haina uwezo wakati ujenzi unaanza? 😂😂😂😂😂

Burundi lazima iwepo sababu huwezi kuingia DRC kwa ardhi kutokea Tanzania bila Burundi na mzigo wa Msongati (heavy metals) peke yake unatosha kulipa SGR ya Tanzania yote.
 
Russia pia wamesema watafunga bombs lao la mafuta...Marekani wamesema wanaangalia uwezekano wa kuanza kuwapigia upya magoti Irani na Venezuela..hii vita dunia nzima itaumia not only Urusi
 
Kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi tony ww unaweza survive na $1800 kwa mwaka mzima?hela kiduchu namna iyo unaishije? Kenya is poor as tz ila hali ni mbaya zaidi tz
Sisi huku Tz tunakula purchasing power parity, gdp hatumjui na tuna survive mwaka mzima na PPP yetu kazi ipo kwenu na gdp ya mchongo lazima mfe njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…