Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katika nchi ambazo viongozi wake ni corrupt huenda Russia ikawa sawa kabisa na nchi za Africa.Viongozi wengi wa Russia wanaficha mali western wanakokula maisha.Pia Russia ilishakua juu ya nchi kadhaa ambazo sasa zimeiacha kama South Korea,Australia.
 
Hiyo Unionpay iko EU au Uk or US Usiniambie iko china ambako Russia anaexport ya US3biln wakati mchina wanexport Russia kwa more $10bil.Mzani wa biashara ya Russia na China hauko sawa tofauti kati ya Russia na western Countries ambako Russia anaexport zaidi Gas na mafuta na yeye anaimport technology na sophisticated products .Mgogoro wa Western na Russia atakayeumia ni Russia.Western na some of eastern Countries watapata shida in short period but wanaalternative.US ana Gas nyingi na anaweza kumfungilia vikwazo Venezula akaimport mafuta ya kutosha.Gas atakaye pata shida kubwa ni France na German na eastern countries ambazo zinautegemezi mkubwa UK na Italy hawawezi pata shida sana kwa kuwa kiwango chao cha utegemezi ni kidogo.Italy anatumia pia kiwango kikubwa cha Gas toka Algeria.
 
Utakuwa mtoto wa juzi juzi maanake wakubwa wanajua miaka ya nyuma cecafa cup ilivyokuwa kila mwaka gor mahia.afc leapard zilivyokuwa zinapambana na simba na yanga. Lazima uzijue simba na yanga kama sisi tunavyozijua gor mahia na afc leopard.
 
Peleka Upumbavu wa kutojua transaction zote za Russia za mauzo ya gesi, metals, silaha, technology na mafuta kwa nchi za EU n global zitakuwa wired kupitia CIPS ambayo ipo dunia nzima kama swift!

Usiwe zuzu wa kusema EU inaweza kuipa sanction Russia wakati ni main source of her energy needs. Tayari France na Germany wanapinga oil embargo!


 
but ujue ukraine iko na backup ya Nato. ata putin anashuku wanaweza kua wameshauvukisha zana za ki nuclear uku ki chinichini. hapo ndo wasiwasi mkubwa wa putin uliopo kwa sasa, kua kukiumana kabisa kabisa kwa ukraine, wanaweza kuachilia hicho kombora kwa wakati wowote... kuna venye putin ameanza kuingiza baridi na hii war kidesign
 
Sasa ni mtaa upi Tanzania wanajua siasa za kenya? Ukiondoa hawa watu wa jf ambao population yao hata 1000 haifiki? Nenda twitter ya Kenya utapata kila habari ya Tanzania, nenda instagram ya Tanzania kama utaona chochote kuhusu Kenya
 
Utakua mpuuzi wa kubishana na ukweli mpaka lini wewe.? Tony ndio mkenya mstaarabu mwenye akili timamu na haongei uongo ijapojuwa ana kawaida ya kusahau na anajua niliyosema hapo yote ni ya kweli ametia shaka kwenye siasa tu.. lakini kila nilichosema hapo ni 100% true
 
😂😂😂😂😂 35,000 ksh jamani simutaua hawa watu

umaskini kenya hautaisha Tony254
Hio ni pesa nyingi sana kwa mtu wa boda boda ukizingatia bei ya bodaboda mpya kutoka China ni ksh 80,000 sasa ukimtoza faini ya ksh 35,000 si umemuuwa kabisa? Yaani nchi za Africa zinajua tu kunyanyasa masikini lakini matajiri wanaoiba mabilioni ya fedha wanaachiwa waendelee kuiba.
 
Wapi ulipoonesha kwamba elevated section imezidi 8km?
" The Expressway will run alongside the A8 from mlolongo to Nextgen where it will be raised above the A8 all the way to James Gichuru" Did you watch the video?
 
You even watch our news 🤣🤣 i only know TBC and i knew it from this forum. What makes you think we know your leaders apart from Suluhu and tundu lissu maybe nyerere ...
 
hii tu ndo takwamu ya kwanza.! i mean the very first one☝.. bongo inakaa kutuzidi, othws sijaai ona ingine. na kama iko, leta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…