German haijaweka vikwazo sababu kuna bomba la gesi kutoka Russia hadi Germany, Bomba hilo linachangia 40% ya matumizi ya gesi ya Germany, kwahivyo Germany haina budi ila kuwa mpole, Si kwasababu eti inaogopa majeshi ya Russia.... Kumbuka Germany ilitingisha dunia nzima waakati wa Hitler na kwa sasa uchumi wao ni mara tatu wa Russia.... Na isitoshe Germany iko ndani ya NATO kwahivyo hawaezi tishiwa hivi hivi na mtu yoyote. Kama ka nchi kama Poland kanasema kako tayari kupeana ndege zake za kivita zitumiwe na ukraine, Poland nchi ambayo haiko ata top 100 kijeshi, lakini vile wako chini ya NATO ndo inajua Russia hawezi tubuthu kuivamia labda awe ako tayari kutumia nuclear