Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nop thats not true, we dont have slums here in Tz.

sisemi kitu

Screenshot_20220307-065214_Chrome.jpg
 
Wewe na Geza Ulole na wenzako ni wajinga sana. Huyo mwanaume kwenye picha ni mtu wa miaka 40 hata ukimuangalia tu kwa sura. In 1973 Putin alikuwa na miaka 21 kwa sababu alizaliwa 1952. Huwa mna akili finyu sana nyie Watanzania. Huyo mwanaume kwenye picha ni jibaba jizee sio kijana wa 21 years old. Mna upuuzi wakati mwingine sana. Watanzania mnapenda sifa za uongo.
 
Mpuuzi kweli wew unalitea list za opinion za taasisi, twende ground Alafu uone kama hujalia.. we unafkiri hizi mambo za welth kwenye luxury residential, kama zitaletwa kulingana na uhalisia wa dunia unafkiri kuna mji hata mmoja Africa utatokea top 100.? 😂😂😂, Unakichaa wewe..
Durban ni kamji kadogo sana. Huwezi kuilinganisha na Nairobi au Dar es Salaam.
 
Wewe na Geza Ulole na wenzako ni wajinga sana. Huyo mwanaume kwenye picha ni mtu wa miaka 40 hata ukimuangalia tu kwa sura. In 1973 Putin alikuwa na miaka 21 kwa sababu alizaliwa 1952. Huwa mna akili finyu sana nyie Watanzania. Huyo mwanaume kwenye picha ni jibaba jizee sio kijana wa 21 years old. Mna upuuzi wakati mwingine sana. Watanzania mnapenda sifa za uongo.
Una macho mazuri sana,hio picha kwako iko clear hadi unaweza kukadiria umri!
 
you see.. outside of south africa, kenya is the 2nd dorminant economy in sub saharan africa after nigeria. so bongolalas, msije mkaona tumekaribiana kwenye mipaka, mkadhani tuko level moja, natwaweza kula kwa meza moja... nope.! kenya ni high table

View attachment 2141596
Daaadeki !!! 😲. Sikujua kwamba Safaricom has the second biggest market capitalisation in Africa. Market cap ya Safaricom ni kubwa kushinda kampuni zote Africa isipokuwa MTN? Wow, imeshinda hadi Dangote kwa market cap.
Watanzania hatupo ligi yenu, wacheni kulazimisha ligi na sisi. Tumewashinda kwa Mbali. Kampuni ya Kenya ni ya pili kwenye market capitalisation Afrika nzima halafu nyie Malazy mtaitisha ligi na sisi? Mtatuweza kweli? Private sector ya Kenya hususan service industry ya Kenya ni strong sana.

Cc Geza Ulole joto la jiwe The best 007 Sama boy 255 tuusan ichoboy01
 
Who owns Safaricom?
 
Back
Top Bottom