Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi unafahamu hii ni forum ya kimataifa?jaribu kupost vitu vinavyomake sense usipende kila mtu akuone hauna akili ,spa unatuonyesha vichaka ama mashamba?
 
Hauna uhalisia katika takwimu zako,uko biased sikuzote,Hata kama una point zinaondoka
 
Kitega uchumi cha ubalozi [emoji848] hii imekaaje
Sio mbaya ..lazima nchi iwe na foreign assests zinazoingizia hela ..Upper hill is a developing CBD ..lakino je hizo hela zitafika kweli Tz ..sijajua..lakini sio kitu kibaya..Goverments mbali mbali hufanya hvyo duniani
 
Sio mbaya ..lazima nchi iwe na foreign assests zinazoingizia hela ..Upper hill is a developing CBD ..lakino je hizo hela zitafika kweli Tz ..sijajua..lakini sio kitu kibaya..Goverments mbali mbali hufanya hvyo duniani
Kwasasa naona mipango ya kupiga pesa imechachamaa kweli kweli, wizarani kila mtu anataka kwenda Ulaya kwa kisingizio cha kuvutia investors, kina Nape wao Ulaya imeshaanza kuwa nyumbani, kisingizio ni kile kile kuvutia investors mara cjui kuwa na technology jumuishi yn upumbavu mtupu unaendelea serikalini kwa ss, Leo nimemuona yule mama CEO wa TAHA naye yupo France kisingizio ni kile kile, dah tumepatikana kweli kweli this time
 
Huna akili wewe hiyo inafahamika, taja bidhaa 5 Kenya inauza nje kwa wingi Kama sio chai, maua na Ovacados, which finished products do you produce?


Unataka nikuhesabie finished products hapo ni ngapi ama unajua kuhesabu?

 
Tuko busy kutumia ela ya Tz kujenga gorofa kunya land [emoji35][emoji35][emoji35]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] kwahyo ile regime ilioisha ww uliipenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…