Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani kakwambia mm mgeni humu?
Huo muundo wa UWANJA wenu hata ubora wake huwezi fananisha na MKAPA stadium.
Kwa East and Central Africa hakuna modern stadium km ya MKAPA .
Na Kuna mwingine unajengwa Dodoma subirieni.
 
sasa marathon ya kulipwa 2000 bob una expect mkenya achukue serious.....lol
Wacha kutafuta vijisababu hiyo sio pesa ndogo 👇
Screenshot_20220228-122430_1.jpg
 
i like this bro.. yani kumbe tuko wengi hapa, tot ni mimi tu kwenye hii nyanja ya uhandisi. itabidi urejelee hizi kazi atleast urefresh, isije ika evaporate....
enyewe nakumbuka ukisema hàpa eti ww ni alumni wa jkuat.... thts great men.! jkuat is the best campus when it's comes to matters engineering. cheers.! 🤜🏼🤛🏼
I am a Jkuat alumnus too
 
Kuna mtu mmoja anaitwa tuusan huyu jamaa tangu juzi ye anatoa maboko tu , ni ignorant huyu mwamba .. jana alidai eti USA hakuna traffic jam, bahati sana nilikua busy na bb. Nikasema leo ntamjibu .. owky traffic jam iliyopo US hakuna nchi ya Africa inawezana, yani ni muongoni mwa foleni za viwango vya juu zaidi duniani .. .
Wewe uache kuniwaza vibaya hayo maneno hata mimi niliyashangaa...usiniwaze kabisa fuatilia aliesema hayo maneno
 
Kuna mtu mmoja anaitwa tuusan huyu jamaa tangu juzi ye anatoa maboko tu 😅, ni ignorant huyu mwamba .. jana alidai eti USA hakuna traffic jam, bahati sana nilikua busy na bb. Nikasema leo ntamjibu .. owky traffic jam iliyopo US hakuna nchi ya Africa inawezana, yani ni muongoni mwa foleni za viwango vya juu zaidi duniani .. 👇 .

Mimi nilimuuliza ni USA ipi anayosema haina traffic jam, hakunijibu.

Ni kilaza mmoja wa Kikunya anajifanya mtanzania
 
Mimi nilimuuliza ni USA ipi anayosema haina traffic jam, hakunijibu.

Ni kilaza mmoja wa Kikunya anajifanya mtanzania
Fuatilia aliesema America hakuna jams tatizo humu ndani mnavitabia kwa kike sana watt wakiume
 
Back
Top Bottom