Does this stop Nairobi from being three times wealthier than Dar?
wealth gan mnaongelea? hata kujilisha chakula yenyewe hamjiwezi
kila mtu dunian anajua kenya kuna njaa
Does this stop Nairobi from being three times wealthier than Dar?
Sasa rudishia wenyewe picha yao.
kwahiyo na sisi tumeenda kufanya huu upuuzi kulipia bendera imulike jengo?
kwahiyo na sisi tumeenda kufanya huu upuuzi kulipia bendera imulike jengo?
Thanks for showing us drawings.picha ya Tanzania’s TRC hii hapa [emoji23].. mnapata tabu sana
View attachment 2134348
Yani we pimbi hapa uliongea point kubwa, nilipanga nikupige ban sema nilisahau, lkn hapa umeongea point kubwa.Na ndio una viongozi wengi Serikalini ambao ni top kuanzia VP hadi mawaziri na ma makatibu wakuu.
Una wasanii maarufu wengi,Wana michezo na wafanyabiashara lakini wote hawapendi kwao,wanajifanyaga wazalendo Sana.
Hunijui vizuri nyeupe ni nyeupe kwangu haiwi nyeusi hata siku moja! Tatizo nikimkosoa mwendazake huwa mnakuja juu!nilitaka niseme hill, nikajua utakuja sema nina wivu na mama[emoji23][emoji23] anyway, anaupiga mwingi
Mwendazake huwezi kumkosoa kizembe zembe mana ndiye aliyetupa power ya kuwa hapa, kama co yeye wakenya walikuwa wanashinda hii battle asubuhi saa 12.Hunijui vizuri nyeupe ni nyeupe kwangu haiwi nyeusi hata siku moja! Tatizo nikimkosoa mwendazake huwa mnakuja juu!
Kwanza mm mwenyewe wkt huu uzi unaanzishwa nilikuwa sielewi Annael ana lengo gani lkn Leo kumaamak ..eee nchi ipo vzr somehow japo co kama awamu iliyopita.Mwendazake huwezi kumkosoa kizembe zembe mana ndiye aliyetupa power ya kuwa hapa, kama co yeye wakenya walikuwa wanashinda hii battle asubuhi saa 12.
Kitu kama hicho unaweza sema ngoja niende moro kupata msosi jioni narudi kulala darpicha ya Tanzania’s TRC hii hapa [emoji23].. mnapata tabu sana
View attachment 2134348
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]
VS
Jamani shule ya mfano y serikali kwa kidhungu inaitwaje? Governmental design model school ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilitaka niseme hill, nikajua utakuja sema nina wivu na mama[emoji23][emoji23] anyway, anaupiga mwingi
😂Yani we pimbi hapa uliongea point kubwa, nilipanga nikupige ban sema nilisahau, lkn hapa umeongea point kubwa.