Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

download-27-jpeg.2133212

juakali style sidewalk on the the left flank is nowhere to be seen! Mumbi has chopped the money!
Haya, tuonyeshe access roads hapo Masaki - your crème de la crème estate - tuone sidewalks ama hata kama kuna lami.😃😃
 
SOcial media ni kirusi kisichozuilika, mwacheni mchina aendelee kuwa bold linapokuja swala la social media


 
Ni kweli kabisa GDP yenu ni ya michongo ila tumeshaistukia, lkn wakenya wenzako wengi wanabisha ila wewe unalijua Hilo.
Mbona unaongea kama MTU hajaenda shule hehe GDP ya mchongo kivipi? So unaiita ya mchongo sababu Tanzania imeshindwa kuwa Na GDP nzuri au?
 
Sasa waendesha funguo au gari. Kumbe we ni dereva wa boss yako mchina. Ufunguo umekula chumvi...zile Benz za awali. Hongera lakini..we ni mjenga taifa si kama wengine wapiga kelele tu.
benz za awali au sio haya nioneshe ufunguo za benz za kisasa kenge wewe🤣🤣🤣 wivu unakusumbua na roho mbaya hio smart key fala wewe

na hii ni 2017 marcedez benz smart key👇🤣





na hii ni 2018 marcedez benz 🤣🤣👇



mkenya ni mtu mjinga sana yani hapendi maendeleo ya wengine kazi yake kutoa kasoro hata kwa vitu havijui sasa nasubiri uniletee hio smart key ya benz za kisasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mmh africa kubwaa
Hata mie nimeshangaa!
Ndio sasa tuelewe hila za wazungu dhidi ya Africa, siku nyingi nimekua nikisikia namna walivyofeki ramani ya dunia ili Africa ionekane ni ndogo
Hizo map zilizokuwa distorted kusini na kaskazini (Mercator projection) ni tekinolojia ya zamani, kwaajili ya navigation baharini. Sababu ya kutumika nje ya navigation kwakweli sielewi, labda ni kutu-program kisaikoloji watu tunaotoka kati ya hizi tropiki kuonekana wadogo.
 
Kuna mtu mmoja anaitwa tuusan huyu jamaa tangu juzi ye anatoa maboko tu 😅, ni ignorant huyu mwamba .. jana alidai eti USA hakuna traffic jam, bahati sana nilikua busy na bb. Nikasema leo ntamjibu .. owky traffic jam iliyopo US hakuna nchi ya Africa inawezana, yani ni muongoni mwa foleni za viwango vya juu zaidi duniani .. 👇 .
 
Back
Top Bottom