Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Kenya kwa kutafuta unga aisee hamtuwezi. Sijafurahishwa na kujikomba huu kwa maana Wanigeria wanapopigwa na Boko Haram sijawahi kuona KICC ikiwashwa stima ya bendera ya Nigeria namna hii. Lakini hii yote ni kutafuta unga. Yaani ndio maana tuna gdp kubwa kuwashinda kwa maana tunawashinda maarifa. Nyie bakini na ujamaa wenu.
