Wewe hamia hata Mars, matatizo yako na homophobia yako vinanihusu nini?We dada ungekua jirani yangu ningehama
huku vijana tunamiliki hvo vitu mzee🤣🤣 kwenu mpaka politician ndio mwenye uwezo wa kumiliki au wale investors wakubwa kutoka nje
Baada ya E_sir sijaona wengine waliobamba. Walijaribu necessary noise, Kala mashaka, wakamba wawili but wote walipotea.. Mgenge jua kali alijaribu ku close gap but nae hakufikia viwango..Tuko na ngoma ingine
Inaimbagwa mpaka kwa campaign "Maisha ni yangu,Mi Sipangwigwi"
Mitoto iko hapo kwa hio collabo inaitwa" Trio Mio" hio mitoto ni ya Issawatu wanaipenda sana
na Ukoo Flani MaumauBaada ya E_sir sijaona wengine waliobamba. Walijaribu necessary noise, Kala mashaka, wakamba wawili but wote walipotea.. Mgenge jua kali alijaribu ku close gap but nae hakufikia viwango..
hiki kizazi cha diamond and harmonize wanadhani wanaimba bongo flava kumbe ndio wanaaribu kabisa.! original bongo ilikua during kizazi cha DazMwalim kwa mfanoDah... When music was real music in 254..
Saiv hata kapuka yenyewe iko down sana wamebakia comedian like Meja..
Sasa waendesha funguo au gari. Kumbe we ni dereva wa boss yako mchina. Ufunguo umekula chumvi...zile Benz za awali. Hongera lakini..we ni mjenga taifa si kama wengine wapiga kelele tu.huku vijana tunamiliki hvo vitu mzee🤣🤣 kwenu mpaka politician ndio mwenye uwezo wa kumiliki au wale investors wakubwa kutoka nje
View attachment 2133347
huku vijana tunamiliki hvo vitu mzeekwenu mpaka politician ndio mwenye uwezo wa kumiliki au wale investors wakubwa kutoka nje
View attachment 2133347


Wacha Mambo ya kizamani hayo, ni hivi Sasa ambapo muziki wa Tanzania umekamata Africa Nzima na kuvuka mipaka ya Afrika, haijawahi tokea muziki wa Tanzania kufika hapa ulipo.hiki kizazi cha diamond and harmonize wanadhani wanaimba bongo flava kumbe ndio wanaaribu kabisa.! original bongo ilikua during kizazi cha DazMwalim kwa mfano
Hii nchi imeshindikana kiukweli kabisa, hivi jukumu kuu la serikali ni lipi Kama sio kulinda raia na Mali zao?, Hilo ndio jukumu kubwa kwa serikali yoyote Ile duniani.
hio ni kwangu. kila nyani na starehe zake. i cannot compare zuchu with lady jd or ray c for example. kwangu lady jd is far much more originalWacha Mambo ya kizamani hayo, ni hivi Sasa ambapo muziki wa Tanzania umekamata Africa Nzima na kuvuka mipaka ya Afrika, haijawahi tokea muziki wa Tanzania kufika hapa ulipo.