Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

download-27-jpeg.2133212

juakali style sidewalk on the the left flank is nowhere to be seen! Mumbi has chopped the money!
 
lakini wamesema worst than zimbabwe only, and not tanzania or any other country... note; even england is poorer than germany. alafu.!?
Kwasasa wananchi wa Zimbabwe ndio masikini zaidi kutokana na "inflation rate" kuzidi 500%
 
Aisee watu ni wabishi,Kazi ya kuchimba na kuyeyusha kwani inafanywa na Nchi au watu wawekezaji binafsi?

Nani anaechimba chuma Liganga ambae ni mwekezaji mdogo?

Hapo Uganda zimewekezwa $200 mil.sawa na bil.500 zaTzn,hii ni pesa ndogo?

Acha visingizio kuna shida somewhere.
Mkuu, uwekezaji kule Liganga-Mchuchuma ni zaidi ya $10B, huo wa $200M kwa uchimbaji wa chuma ngazi ya taifa ni mdogo sana, hata serikali ingeweza kuchimba yenyewe, mkuu "Explorative Industry is capital and labor Intensive", hiyo "$200M itaishia kujenga Barabara na Nyumba za wafanyakazi kule Liganga- Mchuchuma.

Kuhusu kwamba wanaowekeza ni watu binafsi na sio Serikali, jibu ni kwamba, katika miradi mikubwa Kama vile ujenzi wa Bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania, kiwanda cha LNG huko Mtwara, Bandari ya Bagamoyo, Liganga -Mchuchuma, japo kote huko ni private investments, lakini lazima serikali inahusika pakubwa Sana

Lazima wawekezaji wapate uhakika toka serikalini kwamba pesa zao zitakua salama na watatengeneza faida, lazima wapate uhakika wa umeme wa kutosha na Bei iwe na maslahi kwao.
 
Mkuu, uwekezaji kule Liganga-Mchuchums ni zaidi ya $10B, huo wa $200M kwa uchimbaji wa chuma ngazi ya taifa ni mdogo sana, hata serikali ingeweza kuchimba yenyewe, mkuu "Explorative Industry is capital and labor Intensive", hiyo "$200M itaishia kujenga Barabara na Nyumba za wafanyakazi kule Liganga- Mchuchuma.

Kuhusu kwamba wanaowekeza ni watu binafsi na sio Serikali, jibu ni kwamba, katika miradi mikubwa Kama vile ujenzi wa Bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania, kiwanda cha LNG huko Mtwara, Bandari ya Bagamoyo, Liganga -Mchuchuma, japo kote huko ni private investments, lakini lazima serikali inahusika pakubwa Sana

Lazima wawekezaji wapate uhakika toka serikalini kwamba pesa zao zitakua salama na watatengeneza faida, lazima wapate uhakika wa umeme wa kutosha na Bei iwe na maslahi kwao.
achana na huyo mshikaji ni headache!
 
Dah... When music was real music in 254..

Saiv hata kapuka yenyewe iko down sana wamebakia comedian like Meja..
Tuko na ngoma ingine🔥😂
Inaimbagwa mpaka kwa campaign "Maisha ni yangu,Mi Sipangwigwi"
Mitoto iko hapo kwa hio collabo inaitwa" Trio Mio" hio mitoto ni ya Issa😂watu wanaipenda sana
 
Yani Tanzania ni moto. Hawalali siku hizi wakituwaza. Kama vile E-sir aliiimba "mos mos" wakenya jasho inatiririka tu!

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app

Je watanzania mwajua tunamaanisha nini tukisema mahewa tunapewa?Wimbo swaffi ..kiswahili kiko Kenya pia..lakini tz mko juu yetu...hapo kwa swa...kwa maana.. katika maisha yangu yote..Kuna maneno sijawahi kutumia..na nikiamua kutumia..wakenya wenzangu wataniona kaa ambaye nimepagawa....maneno kama ...taadhima, kanuni, uchichole nkdhlika
 
Back
Top Bottom