Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 600
- 1,769
Kuna vitu Mwanza vipo ila mombasa havipo lakini hakuna kitu ambacho mombasa kipo halafu mwanza kisiwepo,so mwanza ni habari nyingine ngoja miradi ikamilike utajua hujuiNimeuliza unaweza linganisha Mombasa na Mwanza?
Kwenye roads and highway ndio kuna environmental hazards nyingi sana kama oil spills, brake shoes dust na brake fluids plus exhaust gases sasa sijui hizo plants zita survive vipiJifunze kufanya basic research!!
Si kubwekabweka kama class 1 leaver.
Naona unatimiza ahadi yako.good evening
View attachment 2131150
Yeah! Ila hakuishi sema alikuja kupambana kumuondoa mbepari ili waweke ukomunist Africa.Kumbe Putin aliwahi kuishi Tanzania View attachment 2131084
Watoe wapi? Hizi ndo zaoI believe it's 100% of Dar. Nionyeshe mtaa Dar uliopangika kuliko Langata.
dar is the only major city in africa that lack, interchanges, bypasses, underpasses, superhighways, expressways and so on...We jamaa ni kituko,kwa hiyo hapo panaweza fanana na Jiji la Abidjan? π
View attachment 2131167
View attachment 2131170
View attachment 2131171
View attachment 2131172
View attachment 2131173
kua rich haina maana kua ndio maendeleo inaeza ikawa rich ya kwenye kalamu na karatasi lakini kiuhalisia sifuri bin ziro ππUnajua Accra ni rich kuliko dar?iyo inamaanisha nn?
Oya wewe ni mkenya acha kujifanya wewe ni mmoja wetu,hatunaga watu wangese kama wewe.Unaweza kua na point,wanaweza kua na failure zao ila hela wametuzidi...tatizo watz humu ndani hawataki kusikia icho kitu
Huu upuzi sijui nani aliwafunza kila Mtanzania ignorant anashinda akiukariri.Kuna vitu Mwanza vipo ila mombasa havipo lakini hakuna kitu ambacho mombasa kipo halafu mwanza kisiwepo,so mwanza ni habari nyingine ngoja miradi ikamilike utajua hujui
Toka kibera utembee uone miji ya watu.dar is the only major city in africa tht lack, interchanges, bypasses, overpasses, underpasses, expressways and so on...
All those units are for sale and it's Kenyans who are buying them. Nyumbu zote ziko na watu ndani hapo ndani are owned by Kenyans. Zoea maisha ya dreamhouse naniiMchina asifiwe ππππ
Ninyi mnamiliki matako tu hapo π
Tuongee kwa facts acha kupiga domo kama wakenya wenzako,me nafikiri wewe utakuwa open minded kuliko hao wakazi wa mathare,haya leta point sasa mzee babaHuu upuzi sijui nani aliwafunza kila Mtanzania ignorant anashinda akiukariri.
ww tatizo lako unaokota information ovyo bila kufatilia kiundani πππ[emoji16][emoji16][emoji16] bisheni tena $38b vs $25b View attachment 2131174
Uswaz kila konaWatoe wapi? Hizi ndo zao View attachment 2131258View attachment 2131260
Niambie nini hicho kipo Mwanza ambacho hakipo Mombasa niondoke huu uzi?Tuongee kwa facts acha kupiga domo kama wakenya wenzako,me nafikiri wewe utakuwa open minded kuliko hao wakazi wa mathare,haya leta point sasa mzee baba
na akibisha naomba unitag π€£π€£π€£π€£Kuna vitu Mwanza vipo ila mombasa havipo lakini hakuna kitu ambacho mombasa kipo halafu mwanza kisiwepo,so mwanza ni habari nyingine ngoja miradi ikamilike utajua hujui
mwambie kwanza akuoneshe modern street kama hzi hapo mombasa akijibu tu nitag π€£Kuna vitu Mwanza vipo ila mombasa havipo lakini hakuna kitu ambacho mombasa kipo halafu mwanza kisiwepo,so mwanza ni habari nyingine ngoja miradi ikamilike utajua hujui
Haya, yalinganishe na hizi dreamhouses za Dar.π€£π€£πππ Acha kutoa maboko we jamaa hiyo interchange pekee inakuonyesha how poor is Accra π. Angalia makazi ya watu hapo chiniView attachment 2130861.. the best of Accra πView attachment 2130866sasa hizo pesa unaizingumzia, zinatengenezwa kupitia nini.? Because what I see down there is poverty, extreme poverty.. unaongea kama chizi vile.? Heb wacha kututia aibu
mwambie akuoneshe modern bus terminal kama hii mombasa na atimize ahadi yake π€£π€£π€£ππππKuna vitu Mwanza vipo ila mombasa havipo lakini hakuna kitu ambacho mombasa kipo halafu mwanza kisiwepo,so mwanza ni habari nyingine ngoja miradi ikamilike utajua hujui
Niambie nini hicho kipo Mwanza ambacho hakipo Mombasa niondoke huu uzi?