Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wehh,siamini macho yangu😍,,yani hii ni Nairobi iko beautiful hivi❤️,,kama USA aki🔥,, expressway ikikamilika lazima ndunia ijue Nairobi 😍

View attachment 2129027

View attachment 2129028

View attachment 2129029

View attachment 2129030

Extremely photogenic but without food you can't drive.

When you are cornered in a shamefully angle where (8) eight out of (10) ten go to bed without having had enough to eat, and taking loans for unnecessary infrastructural projects when your millions are suffering and dying from hunger is absolutely RIDICULOUS.

People say Kenya is a great country and, without reservation, I congratulate you all for being this VERY STUPID!
 
If it's about distance then take a look at Athi River and Kitengela below, 30+ kms from the cbd then compare with the isht you are posting here and shamelessly calling dreamhouses View attachment 2128635View attachment 2128637View attachment 2128638View attachment 2128639View attachment 2128640View attachment 2128641View attachment 2128642View attachment 2128643View attachment 2128644
Yaani bado wanataka kushindana kwenye apartments? Kuna wengine wao walishakubali kwamba kwenye apartments Kenya ipo mbali sana ila naona kuna mwingine anaitwa toptorn bado anataka battle ya apartments. Egypt na South Africa pekee ndio pengine wameshinda Kenya kwenye suala la apartments. Na hata Watanzania wengine hawapendi hii battle, huyu toptorn atakuwa ni mgeni huku.
 
Sasa spika wetu na mambo ya urembo wapi na wapi mzee, huoni sura ya kazi hiyo
Hahaha. Huyu nikipatana na yeye usiku wa manane nitatoroka na kujificha mvunguni mwa kitanda. Dah! sura linatisha sana hilo. Licha ya utani wote huo, wacha niwapongeze Watanzania kwa kumchagua speaker wa kwanza wa kike wa Tanzania. Kenya tunastahili kuwaiga kwenye hilo.
 
This Jurassic antwacky Chinese relic looks asymmetrical,
au macho yangu, naona kama limepinda hivi kwa mbele
IMG_0449.jpg
 
Hahaha. Huyu nikipatana na yeye usiku wa manane nitatoroka na kujificha mvunguni mwa kitanda. Dah! sura linatisha sana hilo. Licha ya utani wote huo, wacha niwapongeze Watanzania kwa kumchagua speaker wa kwanza wa kike wa Tanzania. Kenya tunastahili kuwaiga kwenye hilo.

Hahahah,
She’s got beautiful brain thoo
She has been a deputy speaker since 2015.
 
Hahahah,
She’s got beautiful brain thoo
She has been a deputy speaker since 2015.
Hahaha. Jana nilianzisha uzi wa kupongeza urembo wake na nikatupia humo picha zake nne nilizozipata mtandaoni. Uzi ulichamgamka balaa Watanzania wakicomment huku wakimtetea. Baada ya dakika kumi tu nikaona uzi umepotea. Nikatafuta uzi wangu lakini sikuuona. Kumbe Mods wameshalitupilia mbali. Yaani nilishangaa mbona walifanya vile ukizingatia kwamba nilikuwa nasifia urembo wake na hakuna mahali popote ambapo nilisema kwamba ana sura mbaya. Mimi nilisema yeye ni mrembo sana sasa sijui mbona Mods wanapata hasira binti mrembo kama yule akisifiwa wazi tu. Nina bahati sikukula ban. 😁😅🤣
 
Hahaha. Jana nilianzisha uzi wa kupongeza urembo wake na nikatupia humo picha zake nne nilizozipata mtandaoni. Uzi ulichamgamka balaa Watanzania wakicomment huku wakimtetea. Baada ya dakika kumi tu nikaona uzi umepotea. Nikatafuta uzi wangu lakini sikuuona. Kumbe Mods wameshalitupilia mbali. Yaani nilishangaa mbona walifanya vile ukizingatia kwamba nilikuwa nasifia urembo wake na hakuna mahali popote ambapo nilisema kwamba ana sura mbaya. Mimi nilisema yeye ni mrembo sana sasa sijui mbona Mods wanapata hasira binti mrembo kama yule akisifiwa wazi tu. Nina bahati sikukula ban. Hahahaha. Mods hawataki kabisa urembo wa watu usifiwe hadharani.

Ingekuwa mimi ni admin ungekula ban ya wiki hivi,
Yaani warembo wote umeacha ndio uje umfungulie mwanadada Tulia
By the way I have attended church services with her several times, she is so kind, wise, generous and humble.. we can talk of her that way.
 
Ingekuwa mimi ni admin ungekula ban ya wiki hivi,
Yaani warembo wote umeacha ndio uje umfungulie mwanadada Tulia
By the way I have attended church services with her several times, she is so kind, wise, generous and humble.. we can talk of her that way.
Nakubaliana nawe. Urembo kwa kweli ni ule wa tabia na mienendo.
 
Back
Top Bottom