Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ni noma

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Nairobi bus stand🤣🤣
FB_IMG_1645602011405.jpg
 
Yaani hoteli ya $1.6 billion? Huo ni uongo. Katafuteni sokwe muwadanganye lakini sio sisi. Leta evidence zote nataka kuziona. Na kama ni ukweli basi hapo nakubali mumetuchapa kiboko kizito.
Kwa hiyo hutaki au? 😄😄.Hiyo project is being developed at ana area covering more than 400 hactaresof land.

Kama unashangaa hiyo je Domino tower ikianza utasemaje kwa sababu ni project ya $ 3 bln.
 
Kwa hiyo hutaki au? 😄😄.Hiyo resort inajengwa kwenye area ya hectares 411,ita host kila kitu hapo..

Kama unashangaa hiyo je Domino tower ikianza utasemaje kwa sababu ni project ya $ 3 bln.
Nimekueleza leta evidence yoyote hata render tu, au plan ya ujenzi. Ukikosa hio leta article ya gazeti. Yaani hio tweet pekee sio evidence na haitoshi mboga. Ukikosa vyote leta hata video.
 
Wewe ni comedian kweli Geza. Yaani unataka kulinganisha JKIA na hili jengo la 10 million dollars? (Tzsh 26 billion)? Kapeleke mchezo wako mbali.
Thamani ya hii concrete jungle JKIA ni ngapi? Hata $5 mln inafika?
JKIA--1100x680.jpg



Wewe si Economist? Hebu nipatie NPV ya hii dilapilated fort!


ndo ufananishe na hizi complexes
2.PNG
 
Hahaha. Huyu nikipatana na yeye usiku wa manane nitatoroka na kujificha mvunguni mwa kitanda. Dah! sura linatisha sana hilo. Licha ya utani wote huo, wacha niwapongeze Watanzania kwa kumchagua speaker wa kwanza wa kike wa Tanzania. Kenya tunastahili kuwaiga kwenye hilo.

Huyu ni wa pili.
 
Back
Top Bottom