The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Iwe hivyo, hii Dar yetu watuache na brt inatutosha ila waongeze route tu, trams ziende Jiji la kisasa Zaid East and Central Africa.I thought Tram system iko designated Kwa ajili ya Dodoma.
Iwe hivyo, hii Dar yetu watuache na brt inatutosha ila waongeze route tu, trams ziende Jiji la kisasa Zaid East and Central Africa.I thought Tram system iko designated Kwa ajili ya Dodoma.
nime cheka yangu yote 😆.. hivi wtz wana consider twin towers kama vyumba viwili tofautiHAYA TUHESABU KATIKA TOP 50 Ya AFRICAN CITIES NI JIJI LIPI LINA MA TALL BUILDINGS MENGI ZAIDI Kati ya
DAR vs NAI
Haya ONE.... TWO.... THREE...
![]()
List of tallest buildings in Africa - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Hapo Twin ziko mbili tu, haya toa 2 Kwenye hiyo listnime cheka yangu yote.. hivi watz wana consider twin towers kama vyumba vili tofauti
, sio unacheka tu, ndio ujue nairobi vijengo virefu ni hivyo tu


Nimewatch video fulani pale youtube mtz akicompare Kenya na TZ. Naskia hamna Uber/Bolt/taxify
Anyway point ya sita will shock you
nyangau bongo zao zimejaa kamasiNa bado World bank wanakuambia Dar's real estate imeizidi mbali Nairobi real estate kwa thamani.
Wap iyo naona paved road kila mahali

On the other hand Mwanza imejaa dream houses kama Dar. 😂😂😂😂 Sijui hua wanatoa wapi nguvu kuicompare na Kisumu.
Vipingo City hio coming up nicely, TZ bado inajenga Dodoma 50 Years later. 😂😂😂😂Hivi vijumba 6 ndiyo unataka kufananisha na Fumba?
Chukua hivi vijumba 6 changanya na Karen na bado huwezi fikia Fumba mzee.
Iwe hivyo, hii Dar yetu watuache na brt inatutosha ila waongeze route tu, trams ziende Jiji la kisasa Zaid East and Central Africa.
that overrated dodoma village 🤣🤣🤣🤣Vipingo City hio coming up nicely, TZ bado inajenga Dodoma 50 Years later. 😂😂😂😂
Kisumu unawezana na ARUSHA.?On the other hand Mwanza imejaa dream houses kama Dar. 😂😂😂😂 Sijui hua wanatoa wapi nguvu kuicompare na Kisumu.
Dodoma imeanza kujengwa 50 years.? Au unaropoka tu ilimradi.?Vipingo City hio coming up nicely, TZ bado inajenga Dodoma 50 Years later. 😂😂😂😂
Actually Benjamin Mkapa visited Kisumu in 2001 and wondered why its not yet a city.....comparing it to the villages they call cities over there in useless lowly tanganyika.....he asked Moi to elavate the developed town of Kisumu to city status..Kisumu passed the vetting process of an airport,port,developed real estate and industries to become a city.Of course the hapless bimbos from tz know nothing about that.Ukiondoa bodaboda na omena Kisumu unabakiwa na 0 sasa hiyo status ya city kawapa nani? 😂😂😂😂😂
If it's about distance then take a look at Athi River and Kitengela below, 30+ kms from the cbd then compare with the isht you are posting here and shamelessly calling dreamhousesMwaka huu mtakoma, mimi naleta dream houses wewe unaleta apartments na shule 😀.
Pia hapo nimekuwekea 4 different streets: Mbweni, Salasala, Madale na Mapinga 30+ KM From Posta
View attachment 2128394
Hivyo vijiji vyenu hata suburbs hakuna. Unatembea town unapata nguo zimeanikwa next to a bank.Kisumu unawezana na ARUSHA.?