Ole wako we mzee[emoji1787][emoji1787]Haya mambo nimeyasoma na nimeyaandika sana kabla ya wewe hujazaliwa.
Sisi ya kwetu inaitwa socialist market economy.
😛😛😛
At this point, I don't know if they deliberately believe their own idiocy or they're real idiots.
Hawa majamaa ni wapuusi wao hujitia kuijua kenya kumbe wanajipotosha wenyewe kw kutotumia ubongo wao vizuri..Hata mimi nineshangaa bei ya sukari ilifika huko lini. Hata 2kg haijafika 250/- nashangaa kuonantu anasema 1kg ni 250/-!
Wala hujaelewa kilichopostiwa hapo, ss hapo kuna uhusiano gn na Atcl wewe kima.ATCL (Any Time Cancellation Limited) dyingView attachment 2126967
Ujuaji hua ni mbaya sana walai, yani mpka nakuskitikiaHivi wewe unajua maana ya neno "Economy", wacha kusoma vijarida vya "online" bila kuelewa maana yake.
Sasa kwenye hiyo "Market Economy" ni bidhaa au huduma gani inayozalishwa, "There is nor Economy if there is nor production of goods and or services".
Usichanganye Kati ya "type of Economies vs Systems of Economies".
Types of Economies.
1) Agriculture based
2)Industrial) Manufacturing based
3)Service based
4)Mixed/Combined
Systems of Economies
1) Capitalist
2)Socialist
3)Mixed
Subtypes
I)Free market economy
II)State controlled Economy
III)mixed/Combined
Utapasuka kichwa kwa ku Google vitu vilivyo nje ya uwezo wako, kama you are a layman in such a profession just remain calm and nobody will lough at you.Ujuaji hua ni mbaya sana walai, yani mpka nakuskitia
Economic systems can be categorized into four main types: traditional economies, command economies, mixed economies, and market economies.
Usione watu hawajishaua basi ukatake advantage, m km kitu nina uhakika nacho basi usithubutu kuingiza pua yako..nakuumbua ukimbia km wenzako wanavyofanya
Yani wewe unitukane kwenye mitandao 😂😂😂 We fala sana. Unatafuta umaarufu kwenye mitandao. Utakufa mapema na kijiba.unakumbuka nilikutukana sasa unaanza kuni-tag! Pita kule na achana na ninachofanya!
Asante na ufala wangu! umefurahi? sasa uache kuni-tag! Keep ur words from last time!Yani wewe unitukane kwenye mitandao 😂😂😂 We fala sana. Unatafuta umaarufu kwenye mitandao. Utakufa mapema na kijiba.
Kila kitu unaweka siasa. Mwanangu umedoda hakuna wa kukujali. Acha kujipendekeza.
Huku sisi tunakula 6 meals a day sasa sijui huko kwenu
Acha kujipendekeza kwa wanasiasa. Fanya kazi familia yako ipate mlo.Asante na ufala wangu!
Kiswahili muzuri sema tunavyotegemeana.
Utapasuka kichwa kwa ku Google vitu vilivyo nje ya uwezo wako, kama you are a layman in such a professional just remain calm and nobody will lough at you.
Lazima nimpe kitu aje aelewe mzee, hapa tupo mafunzoni pia licha ya wengine ubongo wao kuvurugwaUtapasuka kichwa kwa ku Google vitu vilivyo nje ya uwezo wako, kama you are a layman in such a professional just remain calm and nobody will lough at you.
Hehehe!!hivi leo imekua google, unaweza google kitu kweli ambacho hata hujawai kiskia..Huyo ni kati ya wale waliokariri kuwa kila kinachopatikana Google ni cha ukweli! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo usishangae, hawezi kuchangia mada bila kugoogle.
Mikunya iko hivo.
Tunawalisha,utalii mnatutegemea, biashara,remittances nk..Hawa majamaa ni wapuusi wao hujitia kuijua kenya kumbe wanajipotosha wenyewe kw kutotumia ubongo wao vizuri..
Unapoona kitu usikurupuke nacho unapaswa kufanya research kwanza wala sio kukimbia kufanya conclusion wakati hujui ya kwamba kuna watu wapo ground na wanaelewa
Hela zetu ndio zinawapeleka chooniTunawalisha,utalii mnatutegemea, biashara,remittances nk..
Kenya kwa Tanzania hamchomoki [emoji38][emoji38].
Na hapa bisha [emoji116]
View attachment 2127045