The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Hazijafika km 9, expressway kaeneo kaliko inuka ni only 8km, hizo kilometers zilizobaki ni road tu kama unavyoona kimara-kibaha modern highway.Wee pimbi km 9 ndio 27 km...ila sio mbaya ww sindo lile chz
The giant has awaken. [emoji3]Ila kusema ukweli haya matusi tuliyoyafanya hii miaka ya karibuni inafanya tuogopeke mno na majirani na wasiokuwa majirani, tunakimbia wkt wenzetu wanatambaa.
Hiyo barabara ni 8 km tu ziko juu yaani viaduct! Kunyaland haina uwezo wa kujenga 27 km of viaduct!Bro kabla Tanzania au Rwanda kujenga barabara ya juu 27km ndani ya capital city zao itakua next century, wewe utakua mzoga kama magufuli View attachment 2125279
A section of the road from Mlolongo all the way to NextGen Mall, a distance of 18.2 kilometres and which is ongoing, will be a flatbed road, while the section from Nextgen Mall through the City-Centre to St Marks church, covering 8.2 kilometres, will be elevated.
https://www.kenyanews.go.ke/construction-of-nairobi-expressway-on-top-gear/
Tumetisha sn ukanda huu, huoni hawa wapumbavu wa kikunya wanavyotugwaya, yn hatuwaachii nafasi tunawapiga kila dakika, tunafanya mambo mengi kwa mkupuo, kwa ss hawana cha kupost zaidi ya expressway ya mchina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The giant has awaken. [emoji3]
Hawataki kusikia ukweli huu kwasababu ni waongo, wakiweka picha ya expressway ya mchina wanaweka kasehemu kalikoinuka ambacho ni only 8km lkn wanataka kuongopea watu kwamba expressway ya mchina ni yote imeinuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo barabara ni 8 km tu ziko juu yaani viaduct! Kunyaland haina uwezo wa kujenga 27 km of viaduct!
I don`t expect you to understand what`s going on there juu Dar hakuna pavements.Kilampicha mnayopost imejaa matatizo. Sasa hapo pembeni ya barabara pamekuwa eneo la takataka?
Tatizo la kujifungia kibera.I don`t expect you to understand what`s going on there juu Dar hakuna pavements.
Wewe huoni hapo kuna pavement inatengenezwa? Ama the word pavement is a new vocabulary to you?Tatizo la kujifungia kibera.
Pavement na Nairobi wapi na wapi, hyo expressway ya mchina tu na wameshindwa kufanya pavement, wameiacha Kama ilivyo cz wameona ndiyo utaratibu wa wakunya, yn ma flyover yote ya Kunyaland hakuna pavement chini, yanakaa Kama choo aisee, inakera kweli aisee.I don`t expect you to understand what`s going on there juu Dar hakuna pavements.
It`s sad that I`m engaging a known mad man. Good night and fight your demons alone, please.Pavement na Nairobi wapi na wapi, hyo expressway ya mchina tu na wameshindwa kufanya pavement, wameiacha Kama ilivyo cz wameona ndiyo utaratibu wa wakunya, yn ma flyover yote ya Kunyaland hakuna pavement chini, yanakaa Kama choo aisee, inakera kweli aisee.
This is veeeery good. Tunataka eco free technologies. BRT roads zetu zikiwekewa train za umeme (Trams) itapendeza zaidi. Nadhani hili likitekelezeka kuna watu hapo North watauana kwa ajili ya TZ. We Tz always look ahead brilliantly. HATUKURUPUKI.Tram zinakuja kwenye BRT, majirani mjiandae kuja kushangaaView attachment 2125259
Kakasirika [emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]It`s sad that I`m engaging a known mad man. Good night and fight your demons alone, please.
Na wasitegemee kwamba tutawasubiri wamalize expressway ya mchina hell no! Sisi tunaweka kuni tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]This is veeeery good. Tunataka eco free technologies. BRT roads zetu zikiwekewa mabasi ya umeme (Trams) itapendeza zaidi. Nadhani hili likitekelezeka kuna watu hapo North watauana kwa ajili ya TZ. We Tz always look ahead brilliantly. HATUKURUPUKI.
Imagine ndio tuje tupate dude kama hili toka France, Walahi mungiki wataanzisha fuyo (fujo) Kunyaland wakidai na wao wanataka kama ya TZ.Na wasitegemee kwamba tutawasubiri wamalize expressway ya mchina hell no! Sisi tunaweka kuni tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
please please.. kila mara unapo angalia gdp ya nchi flani, zingatia pia na idadi ya watu.! mfano nigeria kwa south africa itakua ushuzi sababu ya uwingi wa watu wengi saaana.!. 211m$490b vs 58m$415b.. ni wapi na wapi.?Nigeria yenye GDP kubwa kuliko South Africa
kabisa yaani kuna watu wanazingua sana humu,wanatuletea siasa za kijingaKwa sisi ambao hatupendelei mambo ya siasa sasa RASMI hili jukwa halituhusu tena wabongo ile kasi ya kupost miradi ya maendeleo imeshuka sasa nikupost screenshots za mama kwa sasa kwenye hii battle wakenya wapo mbele yetu. Ni dhahiri siasa inatugawa sasa tunabishana wenyewe na hata kutukanana wenyewe Daah mambo yamebadilika sanaa kwasasa hata sijiamin kuchangia chochote humu mara kukumi nikaangalie juma lokole amesema nini jukwaa la celebrities.
Sidhani kama hili ni wazo zuri, haya mabasi ni ghali na yatatengeneza utegemezi zaidi kwa wafaransa.Imagine ndio tuje tupate dude kama hili toka France, Walahi mungiki wataanzisha fuyo (fujo) Kunyaland wakidai na wao wanataka kama ya TZ.
View attachment 2125488