We tako nani kakuambia miradi iachwe miradi inatakiwa iendelee na mipya ibuniwe ,tatizo akili za chifu ni mbovu ,mfano sensa unatumiaje mamillioni ya pesa kwenye sensa wakati bado aujakamilisha vitamburisho vya taifa ,vitambirisho vya utaifa ni muhimu mara 100 kuliko sensaMnataka aanzishe miradi mipya wakati iliyopo haijaisha? Niwakumbushe hakuna miradi ya Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete,JPM au Samia miradi yote ni Umma hivyo haiwezi kua sifa ukacha mradi haujakamilika na kuanzisha kitu kipya.Serikali ni moja watu watapita nchi itabaki milele.
Utapata aibu bablai mpira wenu wa vilabu ni wangapi vile.? 😅😅😅your overrated football is ranked 146 [emoji1787]
mpira kwetu unapesa kuliko nchi za east africa combined 😂😂😂 hilo unalijua kwanzayour overrated football is ranked 146 [emoji1787]
Jamaniiiii watu wengine muwaweke ignore. Kuna watu kadhaa humu post zao sizioni kabisa.Ilo ni swali unauliza ? Kweli haiwezekani kuongea na kiziwi utaishia kupigia kelele tu wanao sikia
Hawa nao Kiingereza gani hiki? Ndio shida ya kupeana kazi za michongo.Countries with cheapest internet data in Africa View attachment 2124754
Hapa ni wapi
But we have everything needed in footballyour overrated football is ranked 146 [emoji1787]
Kwahiyo unaandaa bajeti ya kutengeneza vitambulisho kwa watu usiojua idadi yao? Hizi akili zingine hizi……yaani ni bora tu umseme vibaya Rais ndio uridhike bila kujali ni namna gani unajidhalilisha?
Hapo ndipo watu wanaishi au co.
Hakuna ligi bora hapa Africa mashariki na kati zaidi ya ligi kuu ya Tz, watu tunaongelea ligi wewe bado unaongelea timu za taifa zinazocheza kila baada ya miaka kazaa.your overrated football is ranked 146 [emoji1787]
Pamoja mkuu,yaani huu muungano mm unanikera Sana,mfano.Kuna vitu havijakaa sawa kwenye muungano hatuwezi kukaa kmy kwa kigezo cha kuchochea chuki, mm naomba kuuliza inakuaje rasilimali za zenji ziwe za kule tu lkn za bara ziwe za wote? Au labda tuwekane sawa tujue kwamba bila zenji basi hakuna Tz bara, huu muungano ni wa kipumbavu sn huu, ok usiku mwema wakuu.
Nataka data za Percapita ya 2016 as well as GDP against za 2020.,mbona huelewi? Umejaza makamasi kichwani?Weee mafiii head....ata mkimchukia mtu haifuti aliyo yafanya, shida uko na character za kike plus kudinywa ndio akili ikawa mafiii kabisaaaView attachment 2124650View attachment 2124651
Rubbish,umejaza makamasi kichwani.Nitawakwera Sana nyie sukuma gangUnafikir kwanini nakwambia unatumia mafii, wakati wanaume tunaoa na kuenjoy ww ukaona wanawake wanafaidi tunavyo wapiga dudu na ww ukaenda kujiongezea huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]kweli ww ni [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]...
Acha kuwa mpumbavu kutaka kubishia ukweli wew zuzuNataka data za Percapita ya 2016 as well as GDP against za 2020.,mbona huelewi? Umejaza makamasi kichwani?
Nataka nithibigishe kauli yangu ya kwamba Miaka yote 6 the economy was struck.
View attachment 2124894
Mpumbavu ni wewe na unayemtumikia.Leta hizo Takwimu hapo mbona unazungusha kiuno badala ulete data?Acha kuwa mpumbavu kutaka kubishia ukweli wew zuzu
ingekua beautiful kweli, shida tu ni venye, its only this one snapshot in the entire tanganyika and zanzibari. just imagine hakuna kwingine kama hapa kwenye nchi kubwa kama tz.. yani hili tu.!
Really? Imekaa kama castle flani England!View attachment 2124524
Kilimanjaro Kibosho