Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani icho kitu hakijakaa sawa kabisa na inafaa kibadlishwe haraka iwezekanavyoo ili kuulinda muungano wetu
 

Mzee sisi hatuna tatizo na uwekezaji huo tatizo letu wale walikua wanamuita jpm ni mkanda anapendelea Chato tuu na kanda ya ziwa je mbona saivi hayo mambo wanayafumbia macho
 
Ni kweli mimi mwenyewe nipo upande wako. Katika sehemu nchi hii ambayo iko underdeveloped Ni mwanza. Kwa kweli inasikitisha. Na magufuli alijitahidi sana kule.

Na magufuli hakuwa Na bifu Na zanzibar ndo maana akamuweka mwinyi.

Haya yote Ni Kwa manufaa yetu. Yana hata sielewi tunagombania nini
Mzee sisi hatuna tatizo na uwekezaji huo tatizo letu wale walikua wanamuita jpm ni mkanda anapendelea Chato tuu na kanda ya ziwa je mbona saivi hayo mambo wanayafumbia macho
 
waliskika Magovinda wakitiana ujinga bila kuzingatia mwendazake alipeleka zaidi ya $1 bln Mwanza pekee! Huku Chato nayo ikipelekewa kiasi kikubwa cha fedha tena kiupendeleo! Endeleeni kufikiria maendeleo yanaleta na serikali tu huku mkiendekeza ushirikina!
 
$1B mwanza? Are you serious?
 
now AFDB going extra on our favor!
we will get it done means mambo tayari, tunasubir kurelease tu taarifa rasmi..
Tanzania tunaenda kuwa na inter-national SGR while kenyans wanabaki na intra-national sgr
 
$1B mwanza? Are you serious?
yes hebu ingia humu uone!

Tuanze na JPM bridge $299 mln, Mwanza airport (PAX Terminal and radar), Nyamhongolo Bus stand, Nyegezi Bus stand, Mwanza market, Mwanza lorry parking, Mwanza shipyard, several roads, several water projects with Lake Victoria water pipeline leading, BOT headquarters, Mwanza referral hospitals expansion Sekou Toure and Bugando aside other hospitals and health centers, ferries, Cotton ginneries, Mwanza slaughter house etc. Nitajie mkoa mwingine nje ya Dar na Dodoma uliopata hivi vyote chini ya JPM!

NOTE:
BTW SGR Mwanza-Isaka sijaitaja nina uhakika at least $300 mln itabaki Mwanza! Msione watu wajinga aisee mkaanza kuleta siasa za kibaguzi! Let the others get the same treatment as there r no better n more deserving Tanzanians than others! Have patience just like the other had!
 

[emoji99] [emoji42] time to sleep!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…