Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Comments zako huwa nabofya like kabla ya kuzisoma. [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Katika miradi ya ndani kenya tukiwekea counties pekeake pesa za ndani zinazotumika ni maradufu kuwaliko..

Manake nyie mnajisifia hela za ndani wakti deni lenu limepanda maradufu
 
Pole kwa kukuumiza[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hapo ndipo mnapokamatiwa..
Uchumi kw tanzania sufuri[emoji1787][emoji1787]jamaa familia ya mtu kumi wanategemea kodi ya nyumba ya urithi na shamba la mihogo..

Lini nchi itakua sasa km sio mwendo wa kuongezeana kodi kiholela
 
what if una import kwa kutumia pesa za mikopo? Kunyaland inafanya hivo!
 
Au pesa nyingi inakwenda njee ya nchi sabab wanao endesha uchum ni wagen , wakiwwacha wenyeji fukar, wezi, na high rate of unemployed
 
Hapa umeongea kama maprofessor kumi wa Harvard.
mwenzenu angalau yupo parfect sana kwenye kuzungumzia jambo flani na huwa hapindishi pindishi maneno wala hana ushabiki wa kijinga kama nyie, inabidi mjifunze kupitia tony,

airport iliyopo nairobi kiuhalisia inababa wateja wengi na hiyo fursa inahaki kwenu kabla hata umoja wa afrika mashariki kuvunjika ,sababu hata history inaonyesha airport kuu ya muungano wa east afrika kwa kipindi hicho ilikuwa ni nairobi hata baada ya kuvunjika umoja wa EA mlibakiwa na ndege nyingi ambazo zilikuwa zinabeba jumuiya ya EA,hivyo basi kulingana na hiyo reaaon mojawapo ingekuwa ni vituko sana nyie muwe nyuma kwa upande wa anga na isitoshe Tz tulisha potea kwenye sekta ya anga ila kwasasa ndiyo tumerudi,
na kwa hapo kenya ni airport ya Nairobi pekee ndiyo tegemezi kwa kila kitu nyingine zote zipo hoi tofauti na huku angalau Tz airport zinajigawanya ikiwemo Dar airport,KIA,zanzibar airport n.k

kama muelewa utaelewa ukiwa zuzu utatoka zero

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Buda, huoni kuwa hilo gape la kuimport pesa mepata kwa mikopo? Punguzeni kukopa uone import itakavyopungua. Au unadhani mlikopa ili muongeze export?
 

bongo kulikoni.!?........... (tanganyika ina EA regional Hq. moja tu.! Dangote Cement .. 😝😝)

👇🏽👇🏼 yani hapa nime highlight baadhi ya makampuni tajika, inayo serve atleast sub-saharan, ama africa mzima.. 👇🏽



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…