Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mh,kupitia mambo kama haya haya kipindi cha nyuma ndipo kenya walipotuzidi sababu vilink uchwala vya ajabu ajabu vilikuwa vimebeba jina ls kenya na mwisho wa siku ukibishana nao kidogo tu kwa ground wao wanakimbilia vilink visivyobeba uhalisia nakutupia humu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Now tunakabana koo, unajua tulilala sn na tulikuwa hatuitangazi nchi yetu ipasavyo, now tangu Magufuli aifungue nchi tumekuwa known all over the world, watz Kama tutaitangaza hii nchi vzr trust me hapa East and Central Africa hakuna nchi itatia pua kabisa kama unavyoona hapo ubao unavyosoma.
 
Yes nimesikiliza tena kwa umakini hii haijabadilisha nilichokisema hapo juu awali,kwa sasa reli imeshajengwa mpk nguzo za umeme zipo ila magari yanapita juu ya reli ya SGR mpk hapo watakapojenga madaraja ya juu, tried to give current status!! April treni ya mkandarasi inakuja!Wasingefanya maamuzi haya kipande hiki kingezidi kudelay!!!!Kujenga madaraja hayo kutachukua muda mrefu hardly mwaka na zaidi!!!Fidia tu bado hazijalipwa!!!Na ukiangalia pale njia panda Segerea na Airport,nyumba zilizopewa namba kwa ajili ya kupisha mradi ni nyingi sana tu,kwa area size wanayotegemea kuchukua tutegemee mambo makubwa!Si kwa haraka unavyodhani.
Train y mkandarasi inakuja wezi huu 17...iyo april n ya TRC
 
Nililia machozi...
Ameshakwenda lkn cha kufurahisha ni kwamba ameonesha thamani ya pesa ambazo taifa ilitumia ku invest kwake plus mapenzi makubwa aliyonayo kwa nchi yake so hakuna tulichopoteza kwake, cc hatumdai ila yeye anatudai miradi aliyotuanzishia ije itunufaishe sisi na vizazi vijavyo.

Rest easy Jemedari.
 
Giza Ulale, hapa sio kenya
download (5) (1).jpeg
 


Double deckers tunazotegemea bongo acha niwashtue wakenya kwanza
Duh kama Tanzania mwanangu from Dar to Dom. Haya mambo wakenya watakuja kuyapata Tz yn itawabidi wawe wanakuja kufanya utalii Tz wa kupanda treni za umeme mana kwao hii technology wataipata miaka 300 ijayo approximately after 14th generation when all these dunderheads pass away.
 
Back
Top Bottom