Kweli kabisa kaka, kuna vitu tulikuwa tunaona haviwezekani kwasababu ya uchumi mdogo lkn jemedari akawaonesha viongozi kwamba hakuna lisilowezekana chini ya jua, na ndio unaona leo hii tunafanya miradi kama ya reli but kabla ya Magu hakuna kiongozi wa hapa Tz alithubutu kujenga japo 0.0006cm ya reli.
Unaweza kuona hata mabwawa ya umeme ni yeye ndiye alianzisha ukiacha hayo mabwawa yaliyojengwa awamu ya kwanza, leo hii viongozi wanaona kila kitu kinawezekana na unaweza kuona jinsi tunavyojenga mtandao wa reli nchini, zamani ilikuwa vitu vinawekwa kwenye ilani ili kupata kura lkn havitekelezwi, walikuwa wanatekeleza vitu ambavyo kila Rais lazima afanye mfano barabara, madaraja haya kawaida kawaida, hospitals lkn vitu vinavyohitaji maamuzi mazito walikuwa wanaogopa kabisa hata kuomba mkopo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Magu was the real deal.