Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kwao wamepigwa, wamewekewa tofali alafu wakadanganywa ni MSE walls 😂😂😂watajua wapi MSE Walls?
Kwao wamepigwa, wamewekewa tofali alafu wakadanganywa ni MSE walls 😂😂😂watajua wapi MSE Walls?
Bwahahahaa!!wall lazima..
Watz wameshtuka kuona kile kitu wanakejeli kumbe ni technology ya kawaida...
Ona vile vitu vinafanywa jombaView attachment 2117579View attachment 2117580View attachment 2117581View attachment 2117582
![]()
Hii si kenya umetoa hapa! the whole of kunyaland hamna MSE Walls!
Hii ndio level yenu!
![]()
Tofali haoikwepeki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wamekupa mpka maelezo bado unashindwa kuelewa...soma kidogo uelewe tahira, ila msisahau ku post flyover ya matofali pindi itakapo kamilika...yani hapo lazima pale matofali tu hamna kuruka...
Mzuka umebadilika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2117591
Jina lisikushtuewatajua wapi MSE Walls?
Hehehe!!jina lisikushtue mzee..![]()
Hii si kenya umetoa hapa! the whole of kunyaland hamna MSE Walls!
Hii ndio level yenu!
![]()
Shida iko wapi hapa mzee.? Mchongo bado ulikua U/CT
Thanks for this picture, this is the other side of JNIA huwa hampeni kuonyesha🤣🤣🤣🤣
View attachment 2117585
airport yenye ma-ramps sio?
Wapi nimesema hapo kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Hii software ya ku trace source of pictures ni mbaya sana kwa jirani [emoji23][emoji23] mtawaua, mana wao ni waongo wanaiba picha tu
Tafadhali .. nyumbani kwenu 👇😂😂 ndio vinafana muonekano Ila sio qualityHehehe!!jina lisikushtue mzee..
Maelezo zaidi pitia picha ya chini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2117608View attachment 2117609
Kwanini usitumie picha ya kenya unatumia picha za wenyewe.? 😂😂Wapi nimesema hapo kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Emu nambie hapo ni kenya ya wapi mzee...
Yani nimewachapa leo mpka mnahaha, hapa huwezi pata pa kutokea..
Alafu acha ushamba, eti "software ya ku trace"[emoji1787][emoji1787]
Acha nikupe tena maelezo uelewe[emoji1787][emoji1787]Issue ya msingi ni tofali mmewekewa [emoji23][emoji23][emoji23] Flyover ya mchongo .. ni mwendo wa michongo tu uko kwenu
One man down, facts maneno ya leso peleka chattle..[emoji1787][emoji1787]Kwanini usitumie picha ya kenya unatumia picha za wenyewe.? [emoji23][emoji23]
Hivi Kenya kuna ma star kwani?Wakenya wenzako mastaa wakifika hapo na wakasifu na wakapenda na wakatamani JKIA ingekuwa that modern.. ni wewe tu chizi unaishia kuiona kwenye picha unakaza fuvu
Half of the gates are these!
![]()
Even Moi airport has that ☝️ ☝️
Sasa baadala ulete vitu real wewe unaleta renders😂😂😂. You can add more pain here, count the number of air bridges.
View attachment 1874050
"Kumbe sio kobe ni Kasa usidanganywe wanafanana" hii ni kutaka kulinganisha Kobe na Kasa .. Kasa 👇Acha nikupe tena maelezo uelewe[emoji1787][emoji1787]
Kichapo cha mbwakoko msikitini, walai leo mtanichukia..
Emu soma kidogo basi, tz watamwaga zege kutoka chini..yani nimecheka kizembe sana leoView attachment 2117611
Matofali beibee[emoji7][emoji7][emoji7]Tafadhali .. nyumbani kwenu [emoji116][emoji23][emoji23] ndio vinafana muonekano Ila sio quality View attachment 2117610
Bongo kuna wa kumzidi kipchogeHivi Kenya kuna ma star kwani?