Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa hebu niwape hongera nzito sana iliyokoleza heshima kabisa. Yaani hapa mumefanya kazi na nimekoshwa kuona maendeleo na mafanikio yanavyofanyika kwa speed ya juu hapa Afrika Mashariki. Ninafurahi kuwa mwana Afrika Mashariki. Region yetu inakuwa kwa kasi mno kwenye miundo mbinu. Yaani eti Sgr lot 2 ipo karibu kukamilika? Nimeshangaa sana. Ila najiuliza ni kwa nini Dar mpaka Moro haijakamilika? Tatizo liko wapi? Anayejua jibu anieleze.

Tatizo ni changamoto ya kipande cha Pugu hadi point Zero!!!!Kuna crossing nyingi sana zinazohusisha makazi ya watu wengi!!!Lot of vehicles na shughuli za kibinadamu!!!na nafikiri hawakuona busara kubeba hayo matreni mpk pugu ndo yaanze safari!!!But now very soon maana wameamua kurahisisha kwa kufanya level crossing ili treni zipite tu then later on walipe watu fidia kwa ajili ya madaraja ya juu kwny maeneo ambayo ni critical!!!plus viaduct pia imechangia kuchelewesha kipande hiki!!!! Kipande hiki cha mjini kimekuwa changamoto sana kwa mkandarasi!!!!Maana kwa functionalities mnajenga kitu mkiangalia miaka zaidi ya mia mbele,mkihusisha mazingira yote ya future plans!!!.
 
wacha kuzusha ati wameweka level crossing, si permanent! Unaangaliaga video kuona underpasses zilizojengwa na zinazojengwa? Hebu tuonyeshe level crossing 0 to 15 km maana najua kutakuwa na fence pia kuilinda rail kwenye tuta la kawaida!
 
We built such over a decade ago
0B2CF720-CF42-4C32-9EC9-18AE4E5496E6.jpeg
 
wacha kuzusha ati wameweka level crossing! Unaangaliaga video kuone underpasses zilizojengwa na zinazojengwa?
Acha kukurupuka Geza lini mara ya mwisho umepita railway crossing za njia panda Segerea, airport kuelekea karakata na pale vingunguti?!!!!Ukijibu hili ndo urudi hapa!!!!kama kuna underpasses sehemu hizo naondoka JF.
 
kwahiyo unadhani wataacha magari yapite juu ya SGR?
 
Acha kukurupuka Geza lini mara ya mwisho umepita railway crossing za njia panda Segerea, airport kuelekea karakata na pale vingunguti?!!!!Ukijibu hili ndo urudi hapa!!!!kama kuna underpasses sehemu hizo naondoka JF.
Kwa taarifa yako maeneo hayo yalifungwa kwa muda wakajenga concrete juu ya reli yenyewe kwa sasa magari yanapita juu ya SGR hakuna cha overpasses wala underpasses!!!pako pako tu tena kama pale Njia panda Segerea kuna slope ya ajabu maana reli ya mgr ilikuwa krb sana wameshindwa kupata level ni kigongo magari yanaburuza tu! Wamefanya hivi kwa makusudi at least treni ya mkandarasi ipite!!!!
 
Sikiliza maelezo yake toka dk ya 4:05 reli itakuwa ikipita chini magari yatakuwa yakipita juu, ujenzi wa vivuko bado!
 
Hapa hebu niwape hongera nzito sana iliyokoleza heshima kabisa. Yaani hapa mumefanya kazi na nimekoshwa kuona maendeleo na mafanikio yanavyofanyika kwa speed ya juu hapa Afrika Mashariki. Ninafurahi kuwa mwana Afrika Mashariki. Region yetu inakuwa kwa kasi mno kwenye miundo mbinu. Yaani eti Sgr lot 2 ipo karibu kukamilika? Nimeshangaa sana. Ila najiuliza ni kwa nini Dar mpaka Moro haijakamilika? Tatizo liko wapi? Anayejua jibu anieleze.

Tatizo ilikua hela lakini now its almost done . Late Magufuli akithubutu kuanza kwa hela ya ndani . Waswahili wanasema mwanzo mgumu . Trust me mzee magu kabadirisha fikra za viongozi wengi kuanzia ndani ya nchi hadi nje ya nchi . Sasa hivi wengi tunaamini nothing impossible ni maamuzi tu . Apumzike kwa amani tu
 
Sikiliza maelezo yake toka dk ya 4:05 reli itakuwa ikipita chini magari yatakuwa yakipita juu, ujenzi wa vivuko bado!

Yes nimesikiliza tena kwa umakini hii haijabadilisha nilichokisema hapo juu awali,kwa sasa reli imeshajengwa mpk nguzo za umeme zipo ila magari yanapita juu ya reli ya SGR mpk hapo watakapojenga madaraja ya juu, tried to give current status!! April treni ya mkandarasi inakuja!Wasingefanya maamuzi haya kipande hiki kingezidi kudelay!!!!Kujenga madaraja hayo kutachukua muda mrefu hardly mwaka na zaidi!!!Fidia tu bado hazijalipwa!!!Na ukiangalia pale njia panda Segerea na Airport,nyumba zilizopewa namba kwa ajili ya kupisha mradi ni nyingi sana tu,kwa area size wanayotegemea kuchukua tutegemee mambo makubwa!Si kwa haraka unavyodhani.
 
Umejibu vizuri, nashawishika kuamini uko karibu sana na ufatiliaji wa huo mradi. Ni kilometa chache sana kama 5 hivi ndio zinachangamo. Haswa hizo overpass na underpass ambazo zitakwenda sambamba na kulipa watu fidia.

Sikujua imeishia wapi hiyo ishu maana pia hela ingehitajika ya ziada(Design and Build)

Kipande cha kuingia bandarini naona nguzo zake zinasimama Kwa speed nzuri sana. Upande wa vituo na facilities zake zote tayari from Pugu to Moro.
 
Back
Top Bottom