Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hiyo ni hii yenu kwa jinsi ulivyo na akili ya uchokoraa unaona zinalingana?
JamiiForums1746255629.jpg


Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kipchoge tz hana wakulinganiswa naeNike na Adida wakiskia watasonya
Acha ku overrate upuuzi. Ona venye star huwa .. Chibu in Sierra Leone 👇 . Chibu arrives in GUINEA BISAU 👇 . Diamond live performance in South Sudan 👇 . Diamond in cuf awards Egypt 👇 . Diamond in kigoma Tz 👇 . Diamond and davido performance in SA 👇. Again SA performance MT awards 👇 . Diamond performance in Nigeria 👇. Diamond arrives in Kenya 👇 . Diamond performance Afcon 2017 👇 . Diamond Afcon performance 2020 👇 . Diamond performance BET USA 👇 . Diamond performance DUBAI 👇 . Huyu ndio staa pekee kuwahikutokea Afrika mashariki na kati ambae anajulikana dunia nzima na anafuatiliwa na watu wengi zaidi.. huo kipchoge mnamjua we na wadogo zako nyumbani kwenu
 
The last time I checked Kenya was 94 and Tz 92...both belonging to the very same category...But as the saying goes even among the equals there are those who are more equal than others....Bottom line.. putting aside statistics and researches lets look at this thing with what is happening on the ground. Have you ever heard of people in Kenya being shot at because they have a different opinion like tundu lissu?
Or someone going to jail for posting that someone else is in hospital somewhere?
Have you forgotten the 2007 after election killings in Kunyaland? What was it all about if not political differences or what you call opinions? I was there and I witnessed that animosity. Again, in 2017 the electoral commission's ICT Officer/Director was also killed due to political differences. In fact, Kenya has more killings related to political differences since independence compared to Tanzania. (Your Mzee Jomo Kenyatta was strategically killed in Mombasa, Tom Mboya, Jaramog Oginga Odinga were also killed due to political differences and the list is endless)
 
Hii sio MSE Wall! Fool MSE walls zina interlocking concrete blocks! Till uonyeshe hizo blocks zimewekwaje! ndo one can say wether that wall is MSE or not!

Kunyaland nzima haina kitu kama hiki!
17328-cropped.jpg




Diagram_MSE.jpg



Railroad-MSE-2.jpg



Railroad-MSE-1.jpg
Kama hii ndio wanajenga pale njia panda ya Kigogo Sio?

Njia ya mwendokasi pale imesha take shape nadhani hadi next month mambo Yatakuwa Safi..
 
Hii software ya ku trace source of pictures ni mbaya sana kwa jirani mtawaua, mana wao ni waongo wanaiba picha tu
Kwenye Google search upload image inakupa source yaani link walipo pakua (download). Wakenya wanajiabisha kuweka picha ambazo sio zao halafu wanaumbuka . Lakini sijui kwa nini mwenzao akiandika uongo hawampingi . Dah wameiba picha India . Lakini hadi sasa tajiri bwana mapema ndio kiongozi wa fix
 
Hii sio MSE Wall! Fool MSE walls zina interlocking concrete blocks! Till uonyeshe hizo blocks zimewekwaje! ndo one can say wether that wall is MSE or not!

Kunyaland nzima haina kitu kama hiki!
17328-cropped.jpg




Diagram_MSE.jpg



Railroad-MSE-2.jpg



Railroad-MSE-1.jpg
Who told you mr too much know, hapa hiwezi drag mada eti uonyeshwe interlocking.pole sana

Km ilikua hujui basi leo nimekupa somo, ni heri ukakubali tu
 
Back
Top Bottom