Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,122
ile ni makeshift genge la ombaomba nobody will be interested!Unataka tuuzie mwarabu kama nyinyi?🤣🤣
ile ni makeshift genge la ombaomba nobody will be interested!Unataka tuuzie mwarabu kama nyinyi?🤣🤣
Au sio ukilinganisha na ile viaduct yenu ya 9 km nchi kavu!forever planning [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kitu yenyewe kawaida sana
Here is the last and only game Simba played Gor. 🤣🤣🤣ile ni makeshift genge la ombaomba nobody will be interested!
Kule Uingereza zinamilikiwa na nani?Hadi klabu zinamilikiwa na Waarabu. Nchi ovyo hii. 🚮🚮🚮
Kwasasa daraja refu East and Central Africa ni Tanzanite bridge ambayo imevunja rekodi ya Kigamboni, zen Magufuli bridge inakwenda kuvunja rekodi ya Tanzanite bridge, now tunaweka record zen tunavunja wenyewe cz tumezungukwa na malazy ukanda huu so wacha tuvunje records zetu wenyewe, hatuwasubiri watatuchelewesha.Wapo Polepole sana
Hili ndio Daraja Refu EAST AFRICA
Dodoma inakwenda kuchapa Nairobi soon.
Daima hatutawasubiri, watatuchelewesha, tuna miradi mingi ya gharama kubwa tunaifanya kwa wakati mmoja pasipokuumiza raia, tuache kushindana na nchi ya mradi mmoja cz we are not their type.
Daima hatutawasubiri, mtatuchelewesha, cc co level yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehe.....Dodoma inakwenda kuchapa Nairobi soon.
Mnachofanya nyie na cc tunafanya tena kwa level za juu sana ila tunachofanya sisi nyinyi hamthubutu kufanya cz hamna uwezo.Lazima mtembelee nyota yetu
Numbers don't lie......We are hitting 200 billion by 2026.Hii habari inaleta matumani kiasi...ndugu zangu wakenya hongereni kufikisha $100b mnasomeka kimataifa yani...tuombeane heri nasi tuvuke...Africa mashariki mmeshasogea hatua kiasi...najua bado hamjafika ila mlipotoka ni mbaliView attachment 2114299
sasa leta facts za gdp......maneno za vijiweni mkekani hatutaki hapa.......Kwasasa daraja refu East and Central Africa ni Tanzanite bridge ambayo imevunja rekodi ya Kigamboni, zen Magufuli bridge inakwenda kuvunja rekodi ya Tanzanite bridge, now tunaweka record zen tunavunja wenyewe cz tumezungukwa na malazy ukanda huu so wacha tuvunje records zetu wenyewe, hatuwasubiri watatuchelewesha.
Kisumu ina ring road?Hehe.....
vitu ziko Kisumu Eldoret Nakuru Meru Thika Kisii na Mombasa ndio mnataka kuanza planning......hehehe. I pity your ignorance and stupidity
Ukiangalia uhalisia wa miradi tunayofanya mpk ss GDP ya Tz ni more than $150bn.sasa leta facts za gdp......maneno za vijiweni mkekani hatutaki hapa.......
dodoma the forgotten village ndio mnangangana nayo while kisumu is finishing its fifth interchange in Ahero......lolunasema kwa uchungu mkubwa sana [emoji1787]
But in reality your gdp is a meagre 52 billion....zanzibar 9 billion.......GDP isn't measured in uhalisia and emotions. Its based on real output of a countryUkiangalia uhalisia wa miradi tunayofanya mpk ss GDP ya Tz ni more than $150bn.
Wao waendelee tuu kuongeza value ya Kenyan Shillings itawasaidia kulipa madeni ili waweze kukopa zaidi.Unajua nyie watz mnachukulia poa lkn mkae mkijua wakenya wanachanganyikiwa sn wanapoona kila siku tunaanzisha miradi mipya ya gharama kubwa ambayo kwao ni miradi ya ndoto zao, wanashindwa kuelewa pesa tunatoa wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]