ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Raila hatakubali matokea abadan😀😀Kuna ubaya gani tukiendelea na hii battle yetu pendwa??
RAO kashapigwa bao la mkono tayari, Ni vizuri sasa atulize wafuasi wake kwani sio Lazime yeye awe rais, I mean Kenya will always be there in his presence or absence.
Meanwhile..
Dsm is the best city in East Africa.
View attachment 561852View attachment 561854
😀😀😀😀uhuru kenyatta as usual
Nchi haitakalika unafkiri raila atakubali kirahisiNAIROBI Kenya oyeee,UHURU oyeee
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
sema uhuru inabidi akatoe ngoma moja ya kwaito kwa pacha wake uhuru kule kwa madiba S.A
GO katika ubora wako....waache majirani wapate ahueni kidogo...ndio kwanza wapo katika sintofahamu ya uchaguzi wao.Kuna ubaya gani tukiendelea na hii battle yetu pendwa??
RAO kashapigwa bao la mkono tayari, Ni vizuri sasa atulize wafuasi wake kwani sio Lazime yeye awe rais, I mean Kenya will always be there in his presence or absence.
Dar es Salaam our lovely City. (Kizuri hujiuza)
View attachment 561859View attachment 561861View attachment 561862View attachment 561863View attachment 561865View attachment 561866
Wewe inakaa kuishi Kenya for sometime kumefanya your vocabulary iwe sexyinaonekana neno "fathom" kwako ni neno la peke sana..smh..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hapana buda...kawaida tu.Wewe inakaa kuishi Kenya for sometime kumefanya your vocabulary iwe sexy
taratibu.....mambo yanakimbizaTazara Flyover Imeanza kuja juu
![]()
![]()
![]()
![]()
AmeeenNikiwa kama mmoja wa mdau mkubwa wa uzi huu kutokea Tanzania napenda kuwatakia wakenya wote uchaguzi salama na amani ili hii battle ya humu ndani iendelee.. Mungu ibariki East Africa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama render vile lol...hawa Japanese hawataki utani...Tazara Flyover Imeanza kuja juu
![]()
![]()
![]()
![]()