NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
uchaguzi wa kenya na vituko vyake
githeri man meme.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
noma sana, I'm really loving this, some priceless stuffs happening naturally.
uchaguzi wa kenya na vituko vyake
githeri man meme.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
umetisha .......sisi WATANZANIA hatunaga roho mbaya wao ndiyo wanafitina nasisi nakizuri kwa upande wetu watanzania hatunaga hata time endapo ukitusena......huwa tunafanyaga yetu.....licha ya kuwepo kwa hali ya kutupiana vijembe kwenye mitandao kati ya sisi watanzania na wakenya,watanzania tumedhihirisha ni kiasi gani tunawapenda jirani zetu.
tumedhirisha hili katika kushiriki kikamilifu kuwatakia wakenya salamu za uchaguzi mwema kupitia twitter,instagram,facebook na ma-group ya whatsapp yanayo waunganisha wakenya na watanzania pamoja.
hizi ni baadhi ya screenshot za watanzania nilizozi-capture facebook.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
huyo LEWIS 254 kajitahid sana na hiyo suti yake kila kona yupo mpaka na obama duuh..uchaguzi wa kenya na vituko vyake
githeri man meme.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Kibera is hunting yu guys ....biggest in Africa this is bad indicator for the countryHio ndio kibera biggest slum in the world
View attachment 562301
siunajua pia kuna yule kijana MTZ mwenzetu aliyerudi bongo kwa uzalendo baada ya kukataa mshahara nafikiri kuna vingi sana vimezungumzwa....vyenye faida kwa taifaIKULU, DAR: Rais John Pombe Magufuli leo amekutana na Mwenyekiti wa Bill na Melinda Gates, Bill Gates.
Tajiri namba moja wa dunia😀😀😀
View attachment 562457 View attachment 562458
Anataka kufanya investments tanzaniasiunajua pia kuna yule kijana MTZ mwenzetu aliyerudi bongo kwa uzalendo baada ya kukataa mshahara nafikiri kuna vingi sana vimezungumzwa....vyenye faida kwa taifa
wameikimbia kibera woteJamaa wako ushago. Yuko network hakuna. TAu itakuwa wamepakimbia Mathare baada ya uchaguzi. Ukimia huu siwakawaida.