Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kimekucha sasa
Screenshot_20170809-210247.jpg
 
Mh ! Wewe
niambie best........maana Wakina Mzee wa iphone,wanjala,Mk254,Lewis254 wote wamerudi vijijini kwao......hakuna acess inayopatikana umeme.......wakija hapa kupiga lelele ujue wamerudi kibera area kwenye makazi yao ya kudumu ndiyo maana wapo kimya
 
Wale Wazee wa highway na intrechange
.....mpoooo?...
naomba mnikumbushe kidogi hapa ni wapi vile maana nimepasahau jina lake?
0930f4c13034761ec8849ae8ad8814f7.jpg
 
licha ya kuwepo kwa hali ya kutupiana vijembe kwenye mitandao kati ya sisi watanzania na wakenya,watanzania tumedhihirisha ni kiasi gani tunawapenda jirani zetu.

tumedhirisha hili katika kushiriki kikamilifu kuwatakia wakenya salamu za uchaguzi mwema kupitia twitter,instagram,facebook na ma-group ya whatsapp yanayo waunganisha wakenya na watanzania pamoja.


hizi ni baadhi ya screenshot za watanzania nilizozi-capture facebook.
16e159c3addc4f565e5c64d0d3834765.jpg
c6015fa866349b0809c12a283b854a6c.jpg
9899ac40ee43164d884cc6efae20c7ca.jpg
92ee916c15e4c47eb9177828f28cbee0.jpg
94d753229201750865b9003e906635f6.jpg
49396e7c26d12925f0fc9e4c6597aa7b.jpg
2aa44ddbc8a37d26d7cd2c094ead4143.jpg
a14b3a878594b5e41bd73c6792c9fcc2.jpg
f4176b05ea8c1706c66a7ef6b41c15e7.jpg
c535fca601c97177c34eecf88eb6857b.jpg
0a0933c4328f114108c84263eba3ee31.jpg
ab0783c96e164ba1bba748ce4d78553d.jpg
a5f2b4ea4b22c688544a79385f880d05.jpg
8989f6a99f161d0f5c7bec0e2a8786b5.jpg
fa518b617ff5139538f237901842ce8b.jpg
 
Ichoboy naomba tuachane na habar za uchaguz, coz kama had watoto wamefarik thats too sad kwakwel, tuzid kuwaombea jiran zetu aman na utulivu, kwan kukiwa na machafuko hata Tz inaweza athirika kwa namna moja au nyingne.

Tuendelee na battle letu mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Serious inaskitisha sana ndugu....
Amani itapatikana kenyatta akiachia madaraka hakuna kingine
 
Back
Top Bottom