Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,876
- 103,732
TBT
BTW Moshi na Arusha nani mmliki wa Panone motel, petrol stations and supermarkets! Nimependa idea yake akikomaa atafika mbali sana! Pia nimeona yupo Mbeya, Manyara, Tanga na Pwani.
HATA MIMI NATAKA SANA KUJA DAR ...BUT KWA KUTALII TU....NA KAMA MTALII NITASIFIA MAMBO KADHAA KAMA LABDA BICHI PALE..KISWAHILI KINGI VILE, MAPOCHOPOCHO HAPA NA PALE, NA WASICHANA WENU...KWA SABABU LAZIMA NIVUKE NA KAMOJA....LAKINI SIWEZI KAMWE KUSHANGAZWA NA MAJENGO AU MAENDELEO KWA SABABU HAKUNA CHA KUNISHANGAZA TZ...MKO NYUMA ZAIDI...YAANI NI KAMA VILE WATALII KUTOKA MAREKANI WAKIJA KENYA ...HUWA WANASIFIA KENYA BUT SIO JUU YA MAENDELEO BECAUSE ITS OBVIOUS U.S.A WAKO JUU YETU KAMA VILE KENYA TUKO JUU YENU....NA NISISAHAU...WAKATI NITAKAPO TUA TZ...TAFAZAL KWA HESHIMA NAOMBA MUWALETE WASICHANA KADHAA WA KIIRAKI PALE AIRPORT WANICHEZEEE MIZIKI YENU YA KITAMADUNI...HALAFU PIA HOTELINI SITAWAACHA BURE..MAANA TIP NITA TOA KISHENZI....SI MNAJUA NIKITOA TIP KAMA ELFU KUMI HIVI NITATIKISA DAR YOTE....HIVI MKIBADILISHA ELFU KUMI ZA KENYA ITAKUWA NI KAMA BILLIONI NGAPI HIVI ZA TZ NIULZE?Nataka jibu kenya kuko na slum ngapi ? Pia wakunya wenzako wengi walisema hivyo hivyo kuwa dar is slum ila walipo sema wanakuja dar watapiga picha na kuthibitisha dar is slum wakaishia kusifia tu kwenye tweet ,hata kuna yule majuzi mlionyesha kuwa anakuja tz hadi leo kimya
ExactlyKwahyo unamaanisha Magu ni Agano jipya![]()
Mkunya miaka yote upo humu kumbe upo kwenye mission ya kuongea kama mtanzania? 🤔HATA MIMI NATAKA SANA KUJA DAR ...BUT KWA KUTALII TU....NA KAMA MTALII NITASIFIA MAMBO KADHAA KAMA LABDA BICHI PALE..KISWAHILI KINGI VILE, MAPOCHOPOCHO HAPA NA PALE, NA WASICHANA WENU...KWA SABABU LAZIMA NIVUKE NA KAMOJA....LAKINI SIWEZI KAMWE KUSHANGAZWA NA MAJENGO AU MAENDELEO KWA SABABU HAKUNA CHA KUNISHANGAZA TZ...MKO NYUMA ZAIDI...YAANI NI KAMA VILE WATALII KUTOKA MAREKANI WAKIJA KENYA ...HUWA WANASIFIA KENYA BUT SIO JUU YA MAENDELEO BECAUSE ITS OBVIOUS U.S.A WAKO JUU YETU KAMA VILE KENYA TUKO JUU YENU....NA NISISAHAU...WAKATI NITAKAPO TUA TZ...TAFAZAL KWA HESHIMA NAOMBA MUWALETE WASICHANA KADHAA WA KIIRAKI PALE AIRPORT WANICHEZEEE MIZIKI YENU YA KITAMADUNI...HALAFU PIA HOTELINI SITAWAACHA BURE..MAANA TIP NITA TOA KISHENZI....SI MNAJUA NIKITOA TIP KAMA ELFU KUMI HIVI NITATIKISA DAR YOTE....HIVI MKIBADILISHA ELFU KUMI ZA KENYA ITAKUWA NI KAMA BILLIONI NGAPI HIVI ZA TZ NIULZE?
Wewe pigwa punyeto na CCM uache ufalahujamaliza kufinywa na Mchina?
Ku host sio kazi bro....Angalia nchi zilizohost kama zinafikia tourism Tanzania alfu utajua kwamba what we miss is only stadiumstuimagine hizi ni requirements za kuhost AFCON, mikoa gan Tanzania inameet hizi requirements fully.. for me naona Dar na kule Unguja, Zanzibar
na ambazo hazimeet fully, ni kitu kimekosekana
kumbe kuhost ni kazi hiv!
Kwani ujui mlimtaperi kiwanja chake kenyayeah! nilijua tu Geza Ulole hakika yupo nchini hapa. ila nasijui mbona anapenda kuiponda nchi inayo mlea, inayo mnywesha, inayo mvisha pamba na kumkuza kilaleo.!?![]()
mtafute tony254 umuhulize atakuambia kuhusu mali za gezaWewe ujajua mission ya wakenya ni kujua kiswahili kama chetu ili wakija bongo wajifanye wabongo ,mkenya anachukia sana mbongo akimtambua kuwa yeye ni mkenya hivyo wanajitaidi kujua kiswahili ili wazamie bongoMkunya miaka yote upo humu kumbe upo kwenye mission ya kuongea kama mtanzania?
Okay kwenye uandishi 70% najua kwenye accent hutoboi mpaka unaingia kaburini.