Sijaongelea kukopa bali kukusanya kodi.kwa fikra hizi Africa itabaki nyuma labda tukufahamishe moja ya nchi zilizopiga hatua ni Malysia na ndio nchi ambayo mifuko ya jamii imewekeza sana kwenye miundo mbinu.Kwako kukopa ndio njia sahihi ili upate cha bure.Tuogope tozo ndogo na tukope.Mwisho mtakuja kusema tukae bure kwenye Nyumba za NHC kwa kua ni shirika la Umma.Kwangu mimi Kigamboni Bridge ni prize of African kwa kuwa haikuwa foreign funded project.
Nafahamu kuwa mpango huo wa kujenga daraja ulikuwa proposed kabla ya Magu kuwa Rais ila fedha hazikupatikana. Magu aliweza kupata fedha za daraja huku akifanya miradi mingine mingi iliyomshinda Kikwete.Kitu usichokijua Kikwete huyo huyo ndio mwanzilishi na mletaji wa Tanzanite Bridge hata angekuja Rais gani lingejengwa maan a kila kitu kilikua tayari ilibaki kupata mkandarasi na kuweka jiwe la msingi.Huyo mnaedhani alikusanya kodi ndiye alikopa zaidi nyingine zikaenda kuweka Taa za barabarani kijiji na Taa nyingi kuliko watu 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Aisee, haya majina yanafanana na yale ya kiunguja.Geza Ulole analijua ilo eneo nikweli huo mji
Mchina akiendelea kufinya Wakunya na substandard structures zisizozingatia international standards at clearance height!Hiki kibarabara hakiwezi jengewa expressway juu yake kama hii ya Kenya. Washaharibu kuweka brt katikati plus this ugly interchange. MagufuliView attachment 2109371
Tuonyeshe residentials kw upana huo darnaruhusiwa kuzitoa hzo make up nikapost real pics
no make up
View attachment 2110473View attachment 2110474
Hapo bongo kwa showroom ya Mercedes kuna G63 mpya kama hii? Munauziwa base models tu, jaribu kutulia.Kwahiyo unataka kusema brand new Mercedes-Benz haziuzwi Dar? Luxury brands wakati mna njaa? Unaumwa mavi wewe!
NDINDA hebu jibu hili fala, G wagons zipo showrooms wakati Bongo zipo mtaani!Hapo bongo kwa showroom ya Mercedes kuna G63 mpya kama hii? Munauziwa base models tu, jaribu kutulia.
View attachment 2111142
mbona rose muhando, ama sijui pia na ray c. naskia waliona heri kuhama kwao tz, na kwenda kutafuta greener pastures majuu, ie. yani 'eastlands' in nairobi. mbona ivoKuomba kuzaliwa kenya ni sawa na kuomba kuzaliwa nguruwe ulaya hakuna mtz anatamani kuishi kenya huo ndiyo ukweli
Onyesha brand new AMG G63 kwa showroom ya Mercedes hapo bongo tuone. Wacha kulialia.NDINDA hebu jibu hili fala, G wagons zipo showrooms wakati Bongo zipo mtaani!
Kwahiyo rose alikuja kuishi mji wa "karia dudu"mbona rose muhando, ama sijui pia na ray c. naskia waliona heri kuhama kwao tz, na kwenda kutafuta greener pastures majuu, ie. yani 'eastlands' in nairobi. mbona ivo

ngoja nimulize Geza Ulole kama ni kweli aliwai kukutana na rose kwenye huo mji


Soma hii kutoka Daily news tarehe 4/3/2015Sijaongelea kukopa bali kukusanya kodi.
Tumejadili sana haya mambo ya ukusanyaji kodi kwa makampuni makubwa toka Jamboforums ilipoanza. Hivi wewe unaona sawa Barrick kutokulipa kodi kwa miaka 5 huku mwalimu penseni yake kulipia ujenzi wa daraja?
Nafahamu kuwa mpango huo wa kujenga daraja ulikuwa proposed kabla ya Magu kuwa Rais ila fedha hazikupatikana. Magu aliweza kupata fedha za daraja huku akifanya miradi mingine mingi iliyomshinda Kikwete.
Hii old town inafanana sana na zanzibar
Na bado mtaongea yote, signature ni ya Samia sio ya marehemu 😃😃Mama yupo nje ya wakati anafuata njia ya jpm baada ya kuona njia zake za kisengerema zimebuma sasa hivi kaanzisha tax force kama jpm pia kuhusu ujambazi katumia mbinu ya jpm na sasa anataka kutumia njia ya jpm katika kutumbua adharani
Na wewe mtu mzima na kende kamili unaamini ule uzushi Na propaganda za Jiwe eti Barick haikulipa Kodi miaka 5? PantheticSijaongelea kukopa bali kukusanya kodi.
Tumejadili sana haya mambo ya ukusanyaji kodi kwa makampuni makubwa toka Jamboforums ilipoanza. Hivi wewe unaona sawa Barrick kutokulipa kodi kwa miaka 5 huku mwalimu penseni yake kulipia ujenzi wa daraja?
Nafahamu kuwa mpango huo wa kujenga daraja ulikuwa proposed kabla ya Magu kuwa Rais ila fedha hazikupatikana. Magu aliweza kupata fedha za daraja huku akifanya miradi mingine mingi iliyomshinda Kikwete.
tuimagine hizi ni requirements za kuhost AFCON, mikoa gan Tanzania inameet hizi requirements fully.. for me naona Dar na kule Unguja, Zanzibar
na ambazo hazimeet fully, ni kitu kimekosekana
kumbe kuhost ni kazi hiv!