Mnahitaji chakula kwa ss kuliko huu upuuzi wa kujipiga piga kifua.Ken Block 💪 ndani ya 254🇰🇪. Ready for the East Africa Classic Safari Rally.
View attachment 2110625
View attachment 2110627
Magufuli hajafanya tutambe that is akqward statement from you,alot was done before him,tunazungumza hospitali zilikuwepo before him,tunazungumza poverty level it was reduced before him,tunazungumza bridges zimekuwepo before as president,tunazungumza BRT imefanyika akiwa bado sio Rais,Tunazungumza barabara za lami zilijengwa akihudumu kama minister.Majengo marefu kama TPA,PSSF twin towers,project kama Morroco square,Dege,Eco AVIC, universities vimwkuwepo before him.Hapa tulipo ni kazi ya viongozi wakuu wote na watanzania not kwa ajili ya JPM,today JPM is not there lakini tunazumza flyover mbezi,Daraja Jangwani.dual carriage Arusha holili,Igawa-tunduma.Yes kuna vitu vizuri vimefanyika wakati wake kama kuanza SGR,Tanzanite bridge(though plan na fedha vilitafutwa na JK na kilichobaki ni kuanza ujenzi) na ujenzi Nyerere hydro power,kigongo busisi ambayo ni maamuzi yake binafsi.Hivyo TZ ni kubwa kuliko mtu
Kenya nzima ina vumbi cjui kwnn aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hako kamji ni kama barabara zote ni unmarked.![]()
wewe Geza Ulole ni mtu wakushangaza sana... hivi unadhani kenya ni hizo mimea mbili pekee.!? kenya tuna kuza karibu kila kitu. FAO rates kenya highlands farmlands as among the most fertile in africa. hence the whiteman found kenyan soil suitable for the kind of plants they treasure. hence tea came to being. also coffee, flowers, pyrethrum, pineapples, cashewnuts, sisal and so on.....kilimo kipi hicho zaidi ya chai na maua? ambavyo vinafanywa na white settlers!
kwahiyo ndo acclaim kumpanda mama wa Ruto? Machine ya matusi sonko ipo wapi?Huijui hata Atwoli ni nani ushaanza nyenyenye 😂😂
Haya ni mashamba ya normal individual southern highlands of Tanzania! Nothing to brag about!wewe Geza Ulole ni mtu wakushangaza sana... hivi unadhani kenya ni hizo bidhaa mbili pekee.!? kenya tuna kuza karibu kila kitu. FAO rates kenyan farmlands as among the most fertile in africa. hence the whiteman found kenyan soil suitable for the kind of plants they treasure. hence tea came to being. also coffee, flowers, pyrethrum, pineapples, cashewnuts, sisal and so on.....
potatoes farms in ole rongai, nakuru county👇🏼View attachment 2111929View attachment 2111928
vast maize farms in trans nzoia county👇🏼View attachment 2111943
pineapples in delmonte farms, thika, kiambu county👇🏼View attachment 2111930View attachment 2111932
cabbage plantation in molo, nakuru county👇🏼View attachment 2111945
sisal in rea vipingo, kilifi county👇🏽View attachment 2111937View attachment 2111933
sugarcane in awendo, homabay county👇🏼View attachment 2111938View attachment 2111939
rice farms in kano plain, kisumu county👇🏽 View attachment 2111941
wheat farms in narok county👇🏼View attachment 2111942
nani amesema company farms!... hoja hapa ni kwamba, tunaweza panda chochote kwa mashamba zetu. sio eti tz inatulisha. kila uchao hua mnadai eti mnatulisha.! ila sivyo..Haya ni mashamba ya normal individual southern highlands of Tanzania! Nothing to brag about!
Utaacha lini kujidanganya?nani amesema company farms!... hoja hapa ni kwamba, tunaweza panda chochote kwa mashamba zetu. sio eti tz inatulisha. kila uchao hua mnadai eti mnatulisha.! ila sivyo..
So unataka kubisha Rea vipingo si listed company? Many of u r squarters in land lords estates ndo maana mna njaa wakati wote!nani amesema company farms!... hoja hapa ni kwamba, tunaweza panda chochote kwa mashamba zetu. sio eti tz inatulisha. kila uchao hua mnadai eti mnatulisha.! ila sivyo..
Ninyi wenyewe ndio mnasema kwamba Kenya hakuna ardhi ya kilimo kwasababu sehemu kubwa ni ukame ndio sababu mnakumbwa na njaa Kali kila mwaka, hapa unaonyesha jinsi mlivyo na ardhi nzuri na kubwa, swali la kujiuliza ni kwanini hamna uwezo wa kujitoshekeza kwa chakula hadi mnapokea chakula cha misaada?wewe Geza Ulole ni mtu wakushangaza sana... hivi unadhani kenya ni hizo mimea mbili pekee.!? kenya tuna kuza karibu kila kitu. FAO rates kenya highlands farmlands as among the most fertile in africa. hence the whiteman found kenyan soil suitable for the kind of plants they treasure. hence tea came to being. also coffee, flowers, pyrethrum, pineapples, cashewnuts, sisal and so on.....
potato farms in ole rongai, nakuru countyView attachment 2111929View attachment 2111954View attachment 2111928
vast maize farms in kitale, trans nzoia countyView attachment 2111943View attachment 2111947
wheat farms in narok countyView attachment 2111986View attachment 2111987
rice plantation in kano plains, kisumu countyView attachment 2111941View attachment 2111951
banana plantation in kisii countyView attachment 2111984View attachment 2111985
pineapples in delmonte farm, thika, kiambu countyView attachment 2111930View attachment 2111955View attachment 2111932
cabbage plantation in molo, nakuru countyView attachment 2111945View attachment 2111950
sugarcane in awendo, migori countyView attachment 2111938View attachment 2111939View attachment 2111957
sisal plantation in rea vipingo, kilifi countyView attachment 2111937View attachment 2111933
Kwani unafikiri ukiiba pictures ndio mtaacha kufa njaa,wewe Geza Ulole ni mtu wakushangaza sana... hivi unadhani kenya ni hizo mimea mbili pekee.!? kenya tuna kuza karibu kila kitu. FAO rates kenya highlands farmlands as among the most fertile in africa. hence the whiteman found kenyan soil suitable for the kind of plants they treasure. hence tea came to being. also coffee, flowers, pyrethrum, pineapples, cashewnuts, sisal and so on.....
potato farms in ole rongai, nakuru county👇🏼View attachment 2111929View attachment 2111954View attachment 2111928
vast maize farms in kitale, trans nzoia county👇🏼View attachment 2111943View attachment 2111947
wheat farms in narok county👇🏽View attachment 2111986View attachment 2111987
rice plantation in kano plains, kisumu county👇🏽View attachment 2111941View attachment 2111951
banana plantation in kisii county👇🏼View attachment 2111984View attachment 2111985
pineapples in delmonte farm, thika, kiambu county👇🏼View attachment 2111930View attachment 2111955View attachment 2111932
cabbage plantation in molo, nakuru county👇🏼View attachment 2111945View attachment 2111950
sugarcane in awendo, migori county👇🏼View attachment 2111938View attachment 2111939View attachment 2111957
sisal plantation in rea vipingo, kilifi county👇🏽View attachment 2111937View attachment 2111933
Iowa siku hizi ipo kunyaland?nani amesema company farms!... hoja hapa ni kwamba, tunaweza panda chochote kwa mashamba zetu. sio eti tz inatulisha. kila uchao hua mnadai eti mnatulisha.! ila sivyo..