Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,122
Kwahyo unamaanisha Magu ni Agano jipya[emoji28]Mpumbavu huyo achana naye, huwezi kumponda Magufuli kizazi hiki, Magu hapondeki kwasababu yeye ndiye sababu tupo hapa tunatamba, yani watake wasitake Magu ndiye baba wa Tz mpya, Nyerere ni baba wa Tz ya zamani lkn Tz mpya baba wa taifa ni Magufuli John Pombe Joseph, najua ni ngumu kumsifia kizazi hiki cz ni kawaida ya binadamu kuleta mazoea but uwezo, akili, kujituma na mapenzi aliyokuwa nayo Magufuli kwa taifa hili hayapimiki, kama itashindikana kupewa heshima yake kizazi hiki atapewa kizazi kijacho.
Huyo kwann Unamjibu mpotezeeJaribuuu huuu uharo wako ata pale Ruvuma mkoa unao ongoza kulima maindi nchi nzima, kama hutajikuta icu...yani ww uwezo wakonwakufikir ni mashaka matup
.Haikuwa na haja ya kuchukuwa pesa za wastaafu kugharimia ujenzi wa daraja.
Serikali ya Rais Kikwete ilikuwa haikusanyi kodi, pesa hiyo ingetosha kujenga hilo daraja bila kupeleka mzigo kwa wananchi masikini. Sasa wakina Prof Mbarawa wanalazimika kujieleza wakati hata hawakuwepo kipindi cha maamuzi.
Kuomba kuzaliwa kenya ni sawa na kuomba kuzaliwa nguruwe ulaya hakuna mtz anatamani kuishi kenya huo ndiyo ukwelinajua tu watz humu wangeulizwa wange wish kuzaliwa nchi gani kati ya ke na tz, wengi wenu mnge chagua kenya, ila mnaogopa, ama mtaona aibu kuyasema hayo hapa.. hehe.. ukweli wa mambo
"kenya the most sophisticated country in this eastern africa block, with a consistent track record of being the largest economy in this region ever since the colonial times"
Ndiyo maana tunajua kuwa 80% ya watu nairobi ni maslumist wanaishi kwa slum na 14% wanaishi kwa apartment 6% ndiyo wanaishi kwa nyumba zao ,sasa kokotoa hizo percent kwa idadi ya watu mil 4 wa nairobiMnatufuatilia maanake hakuna Mkenya anayejua hata TBC ni nini wala wamepost nini. Nyinyi mmejaa kwa mapage za media za Kenya na hata TV mnatazama za Kenya.
Mzenji huyo uwezo wake wa kufikiri ni kuwenda marikiti tuJaribuuu huuu uharo wako ata pale Ruvuma mkoa unao ongoza kulima maindi nchi nzima, kama hutajikuta icu...yani ww uwezo wakonwakufikir ni mashaka matup
Hivi ni kweli kuna mji unaitwa hivyo au ni utani tuu.Ajue wapi huyo anadhani jua linazunguka karia dudu pekee
View attachment 2110948
View attachment 2110949
Mama yupo nje ya wakati anafuata njia ya jpm baada ya kuona njia zake za kisengerema zimebuma sasa hivi kaanzisha tax force kama jpm pia kuhusu ujambazi katumia mbinu ya jpm na sasa anataka kutumia njia ya jpm katika kutumbua adharani
Geza Ulole [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kafurahia neno " boy" majiniasi mtanielewa[emoji304][emoji304]
Geza Ulole analijua ilo eneo nikweli huo mjiHivi ni kweli kuna mji unaitwa hivyo au ni utani tuu.