Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Them kunyans confessing 😂😂😂👇 wapuuzi wachache wakikenya humu JF wanapiga kelele tu kujifurahisha
Hujamaliza kupiga punyeto?Mchina akiendelea kufinya Wakunya na substandard structures zisizozingatia international standards at clearance height!
View attachment 2111102
MY TAKE
Mind u barabara ya kwenda Mombasa Port hiyo!
hujamaliza kufinywa na Mchina?Hujamaliza kupiga punyeto?
Sii kweli 5 star! Ghana na hata Cameroon wasingeweza ku-host! Hospitality wako nyuma kinoma huwezi kuwalinganisha na sisi! Jua hilo! angalia hata Hospitality awards West Africa!
.. suala ni upande wa serikal kujenga
au
au
kwenye host cities pale ambapo hamnakwetu sisi hotel, medical facilities na viwanja vya ndege si tatizo! Serikali iamue tu kujenga viwanja vitatu tuna-host AfCON bila tatizo! Tena ita-boost hata utalii consider in next 5 years Air Tanzania itakuwa imepanuka kibiashara na routes pia na hata Azam media inaweza ku-apply for exclusive broadcasting rights! Tunahitaji a will from GoT na mtu asikudanganye ati Cameroon au Ghana au Nigeria wametupita kihoteli! Nchi kidogo ipo advanced kwenye tourism ni Ivory coast na Gambia kule!good, kwakuwa hotels mostly ni suala la sector binafsi.. nadhan serikali ikisema inajenga viwanja vikubwa, sector binafsi itachangamka hata kujenga hotels nzuri na kubwa zaid.. so ishu sio hotels. viwanja vikijengwa hotels zitakuja tu
Bro Tony254 Angalia hii video, ujifunze ni pesa kiasi gani watanzania wa kawaida tu wanamili na hawatangazi popote.. huyu mwamba kwasasa ni MP akiwakilisha Geita, alianza kazi 2015 .. anamiliki apartments 400-500, ng'ombe 6000-7000 na mabasi 12, ana maduka mengi hadi Kariakoo, kilimo n.k 👇.
Umeshtuka 😂😂😂 hujawai ona chuma kama hio kwa maisha yako.umeanza kuchanganyikiwa sasa😂😂😂
dude limekaa kama kifaru utaliendeshaje mtaani? Amphibious vehicle! Wacha desperation! hilo sehemu yake ni barracks!Umeshtuka 😂😂😂 hujawai ona chuma kama hio kwa maisha yako.
Kama vipo inakuaje hata ku file bid haijawahi tokea? Afu toa Kilimanjaro hakuna 5 Star hotel weka Mbeya au Morogoro1. Dar (hapa tuseme tunaweza kupata mbili kwa mpigo, Mkapa na Uhuru)
- Stadium
(eg. Benjamin Mkapa
)
- Training pitch
(eg. Uhuru, Azam, JK)
- Four 5-stars hotels
(zipo)
- Medical facility
(eg. Muhimbili
)
- Airport
(eg. JNIA
)
2. Unguja, Zanzibar
- Stadium
(eg. Aaman
)
- Training pitch
(zipo)
- Four 5-stars hotels
(zipo)
- Medical facility
(eg. Mnazi Mmoja
)
- Airport
(eg Abeid Aman
)
3. Arusha
- Stadium
- Training pitch
(zipo za CCM)
- Four 5-stars hotels
(zipo)
- Medical facility
(eg. KCMC, thou kuna umbali kidogo)
- Airport
(eg KIA, thou kuna umbali kidogo)
4. Mwanza
- Stadium
- Training pitch
(zipo za CCM)
- Four 5-stars hotels
- Medical facility
(eg. Bugando
)
- Airport
(eg. Mwanza Airport)
5. Dodoma
- Stadium
(under CCM ILANI 2020-2025)
- Training pitch
(zipo za CCM)
- Four 5-stars hotels
(zipo)
- Medical facility
(eg. Benyamin Mkapa
)
- Airport
(new, under construction)
6. Kilimanjaro
- Stadium
- Training pitch
(zipo za CCM)
- Four 5-stars hotels
- Medical facility
(eg. KCMC
)
- Airport
(eg KIA
)
AFCON haiwezekani kurudisha pesa za investment kwa muda wa mwezi mmja wa mashindano ila kwa njia ya Utalii over time ndio pesa inaweza kurudi.kwetu sisi hotel, medical facilities na viwanja vya ndege si tatizo! Serikali iamue tu kujenga viwanja vitatu tuna-host AfCON bila tatizo! Tena ita-boost hata utalii consider in next 5 years Air Tanzania itakuwa imepanuka kibiashara na routes pia na hata Azam media inaweza ku-apply for exclusive broadcasting rights! Tunahitaji a will from GoT na mtu asikudanganye ati Cameroon au Ghana au Nigeria wametupita kihoteli! Nchi kidogo ipo advanced kwenye tourism ni Ivory coast na Gambia kule!
ila hata kama hatuta-break even kama tukifanya in the next 5 years at least siye tutakuwa na more returns kuliko Cameroon kwa vile airline yetu itakuwa tayari imeanza kwenda West Africa, pili tuna quality hotels tayari zitanufaika ukichukulia marketing experience yao, halafu tatu kuna another hidden factor utalii uliopo westerners wengi wataenda kuangalia michuano haswa wale wataokua Arusha, Dar na Zanzibar! Jaribu kuangalia msisimuko wa mechi za Simba na Yanga au hata Sauti za Busara au hata Kilimanjaro marathon utajifunza kitu as far as event planning and marketing is concerned! we r pretty good in that sector!!AFCON haiwezekani kurudisha pesa za investment kwa muda wa mwezi mmja wa mashindano ila kwa njia ya Utalii over time ndio pesa inaweza kurudi.
ila hata kama hatuta-break even kama tukifanya in the next 5 years at least siye tutakuwa na more returns kuliko Cameroon kwa vile airline yetu itakuwa tayari imeanza kwenda West Africa, pili tuna quality hotels tayari zitanufaika ukichukulia marketing experience yao, halafu tatu kuna another hidden factor utalii uliopo westerners wengi wataenda kuangalia michuano haswa wale wataokua Arusha, Dar na Zanzibar! Jaribu kuangalia msisimuko wa mechi za Simba na Yanga au hata Sauti za Busara au hata Kilimanjaro marathon utajifunza kitu as far as event planning and marketing is concerned! we r pretty good in that sector!!