The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ubungo interchange ishafunikwa, uko wapi wewe? Sisi hatukai tukiongelea mradi mmoja daily, ona hii alafu tutaipotezea mda c mrefu litakuja funga mwaka soon, wkt nyie mnahangaika na expressway mwaka mzima sisi tuko na hii Hatuwasubiri[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani, tangia expressway ianze ku catch shape, hatuskii tena kelele za ubungo interchange hapa. atleast sasa tunaweza pumua. walikimya wote, hasa Ichoboy . mzee wa 3levels