Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tiffany Banner exposed the child sex exploitation in daresalaam and zanzibar by recording live footages but the tyrant ccm couldn't handle this shame of this fake glorious safari country of tanganyika......View attachment 2109762
Eti mbakaji alimwachia akampigia video call mtu mwingine analalamika , halafu sijui kwa nini black american nao wanapenda ubaguzi mfano huyo dada alikua anagombana na wenzake
 
Mpumbavu huyo achana naye, huwezi kumponda Magufuli kizazi hiki, Magu hapondeki kwasababu yeye ndiye sababu tupo hapa tunatamba, yani watake wasitake Magu ndiye baba wa Tz mpya, Nyerere ni baba wa Tz ya zamani lkn Tz mpya baba wa taifa ni Magufuli John Pombe Joseph, najua ni ngumu kumsifia kizazi hiki cz ni kawaida ya binadamu kuleta mazoea but uwezo, akili, kujituma na mapenzi aliyokuwa nayo Magufuli kwa taifa hili hayapimiki, kama itashindikana kupewa heshima yake kizazi hiki atapewa kizazi kijacho.
 
Heshima ya Magufuli kwa taifa hili haiwezi kupotezwa na wahuni wachache a.k a malaya wa kisiasa.
 
magufuli mpaka leo anawanyima usingizi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawampendi kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndiye aliyesababisha wakakosa EACOP

Ndiye aliyesababisha leo tunaisumbua EA in out [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndiye aliyesababisha tunajenga electrifitried SGR ambayo inakwenda kuteka soko la East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndiye aliyeleta madaraja ya kisasa EA a.k.a cable stayed bridges [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndiye aliyesababisha leo hii tuna 8lane road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndiye aliyesababisha leo hii tuna ndege za kutosha kabisa na tunasifiwa kwa hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndiye aliyesababisha leo hii tunaona faida ya kuwa na madini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndiye aliyetimiza ndoto za Mwl. Nyerere za kuhakikisha Dodoma inajengwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndiye aliyeleta 3level interchange ya kwanza East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndiye aliyeleta bus terminals za kisasa EA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndiye aliyefanya dunia ikazoea kuishi na corona, hivi tunavyoongea wakuu wa dunia hii wameanza kutembea na theory za Magufuli ktk kuipiga corona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mambo mengi ya kumuelezea Magufuli, ametawala kwa miaka michache lkn impact yake inamsumbua mpk Nyerere Rais aliyeongoza zaidi ya miaka 20[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kitu kimoja ntakachowaeleza wanangu ni kwamba once upon a time there is African native called John Pombe Joseph Magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Despite all the praise Tanzania still only have 37&& electricity connectivity
Tanzania total paved roads are still at 9,000km
Tanzania still depend on Uganda to build schools for them
Tanzania still has one flyover
He left Tanzania with only 2 interchanges🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…