The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Ataipindua tuu.Mikataba ilishasainiwa na wapigaji toka 2012, mama hapa atakuwa anaonewa.
Ataipindua tuu.Mikataba ilishasainiwa na wapigaji toka 2012, mama hapa atakuwa anaonewa.
Kulikua na ubaya or it was a positive decision on your opinionHayo yalikuwa ni maamuzi ya kikwete na Dau wake.
Kenya is the father of unmarked roads in the world![]()



Bila lipstick na makeup. 🤣🤣🤣
Hospital ya kibingwa kwa magonjwa ya mifupa,wanaanzisha na chuo Kikuu tawi la Muhimbili university.hii ndio hospitali itahudumia watu kutoka kisumu, migori,homabay,kindu bay, awendo, etc😄😄😄
View attachment 2110550
Hawajiulizi mbona kuna picha ya ngombe kwenye logo ya Mamlaka ya Uhifadhi bonde la Ngorongoro!
Hawezi, wanaomwelekeza nini cha kufanya ndiyo wanufaika wa hizo tozo.Ataipindua tuu.
Naona unapata bia kwenye Kontena.futaa inanoga ile mbaya.! 🔥🔥🔥🤓 View attachment 2110639
Na bado hamna duka za kuuza luxury brands. 😂😂😂Aisee hawana bado, nilikua huko 3 weeks ago, Bongo is miles ahead in terms ya dollar millionaires.
a very local joint ya mtaa. sio lazima tuende high profile pubs. kesho monday, wanaume kazi!Naona unapata bia kwenye Kontena.
Rais haelekezwi cha kufanya na mtu wewe kenge.Hawezi, wanaomwelekeza nini cha kufanya ndiyo wanufaika wa hizo tozo.
Hivi hata unajuwa JK huwa anamfanya nini, ndiyo atakuwa na jeuri ya kuamua anachotaka?Rais haelekezwi cha kufanya na mtu wewe kenge.
Game za local huweza mbaya, banter hapo hukua top tier, kwanza team yako ikipigwa. 😂😂😂a very local joint ya mtaa. sio lazima tuende high profile pubs. kesho monday, wanaume kazi!
yani mtz ni lazima tu hadi atoe critic ama kamakosa mahali..as usual.. imagine hii ni nyumba/frame.. na huo ukuta ni batisio matofali.. unaweza ukaona maisha yao yalivyo kitapel tapel..
Rubbish 🚮🚮Hivi hata unajua JK huwa anamfanya nini, ndiyo atakuwa na jeuri ya kuamua anachotaka?