Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimecheka sana yaani hakuna project nyingine kenya zaidi ya expressway na sgr ambayo imeshaisha lakini bado unaitaja hapa. Kweli nchi ya project moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehe.....worry not.All the 47 counties are construction sites
 
Kisumu

1644126454286.png
 
Everything you posted here Uhuru has done it five times better than Magufuli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Onesha BRT aliyojenga mlevi uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Onesha cable stayed bridge aliyojenga mlevi Uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Onesha electrifitried SGR aliyojenga mlevi Uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Onesha mji mpya kama Dodoma aliojenga mlevi Uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Onesha Airpot aliyojenga mlevi Uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Onesha 3 tier interchange aliyojenga mlevi Uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Onesha big ship aliyojenga mlevi Uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom