Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

whereas 95% of tanzanias are very much aware and keen on every politics or even any infrastructure development project going on in kenya, eg... expressway or during the sgr.
more than 95% of kenyans are not even aware of what's going on down there.. [emoji848][emoji848] ni sisi watu jf

expressway mnapost kila siku, Monday to Sunday, 24 hrs a day.. kwann tusiujue huo mradi wenu humu? sisi humu tunajua mna huo mradi moja tu sababu ndo mradi pekee unapostiwa humu kila siku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe picha hizo zinakupa maumivu makali? “Nyali bridge iliyoezekwa beams pembeni” ni sawa na kusema kuwa you wish Nyali bridge looked like Tanzanite bridge. I wish I could relieve your pain, but you gotta keep swallowing them pills hadi wivu ukuishe.
Hahaa!!n sawa na kusema i wish kupaka nyumba yangu ya plaster na rangi km ya mwenzangu lkn wakati zote za udongo tu[emoji1787][emoji1787]
Yani hapo hamna tofauti yyte
 
IMG_20220206_064258.jpg
 
whereas 95% of tanzanias are very much aware and keen on every politics or even any infrastructure project going on in kenya, eg... expressway or during the sgr.
more than 95% of kenyans are not even aware of what's going on down there.. [emoji848][emoji848] ni sisi tu watu jf
Nimecheka sana yaani hakuna project nyingine kenya zaidi ya expressway na sgr ambayo imeshaisha lakini bado unaitaja hapa. Kweli nchi ya project moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom