Huku hawatakagi tuwalete, kitu wakiwa hawana huwa wanasema hawakihitaji but rumors zikiibuka kuhusu hicho kitu kujengwa huko kwao utaona wanapost picha kwa kelele nyingi humu kama walivyofanya kwenye BRT [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walikuwa wakisema hawahitaji BRT suddenly Mr. Overworking akawaonesha kituo cha kufuga mbwa wakadhani ni BRT station, majinga kweli haya majitu, ss hiki kituo cha kufuga mbwa ndio BRT station [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2110086