Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,913
- 103,782
VS
uskonde bishoo,.. kilimo biashara mzee..kilimo kipi hicho zaidi ya chai na maua? ambavyo vinafanywa na white settlers!
China is poor by the wayhii slum si hata kawangware yenye inaitwa slum imeishindia kwa umbali.......refusing to accept that 90 % of dar is covered by these shitty hovels wont save you tanganyikans......CCM just like chinese communist party are well known tyrant regimes who hide the truth from the world while the citizens are languishing in poverty
Dar needs planning and a lot of money to actualize it coz its getting pathetic.Brt was a good idea but now the slum or uswazi problem in dar......should it be ignored. View attachment 2108619
Nyerere hajawahi kusema huu upumbavu anaodai mkunya, the more lie persist the more it becomes fact 🚮Baada mwl nyerere kuyasema hayo yotee akamalizia na " kenya is the man eating man" wewe unafikili ni kwanini?
😂😂😂 Wanakufira wewe sio bureChina is poor by the way
Gdp ya Algeria na libya ni ndogo sana kulinganisha na gdp ya kenya lakini maendeleo ni makubwa sana ambayo itaichukua kenya miaka 70 kufikia hapo.GDP ya hao Libya,Algeria zimekaribia ya kenya????
Kenya tuko poa tutakapofikia GDP ya hao majamaa tutakuwa noma kuwaliko!
Lakini swali ni hili
Tanzania na ambavyo mko wengi,Rotuba nzuri na bado Ukubwa huo wote wa Nchi yenu
Swali ni hili!
Mko na GDP ngapi??
Dar imeshinda Rwanda kwa ???
Hizo nchi mlizoleta picha yazo je zinafanana na daresalam ama hata kukaribia???
Mombasa yenyewe inakibizana na Dar! Dont joke with Nairobi wwe bado hamjafika!
NI kama ndo mara yako ya kwanza kujua kutumia jina modern.


Unaumia ukiwa wapi? Mathare ama Kibera?They are stupid to see that.....Dar needs planning and a lot of money to actualize it coz its getting pathetic.
This is worser than kawangware slum and to imagine this is DAR's middle class wah!! ni huruma jameni.
Vipimo vya umaskini Kenya na Tanzania ni tofauti sana. Yani hii kwa Kenya standards ni slum, Tanzania ni middle class.
GDP ya Algeria ni oil dominated sio kama ya Kenya ambayo ni service dominated. Kenya haina madini.Gdp ya Algeria na libya ni ndogo sana kulinganisha na gdp ya kenya lakini maendeleo ni makubwa sana ambayo itaichukua kenya miaka 70 kufikia hapo.
Hehehe.......We work smart.....most Kenyans export french beans and beetroot to the western world.....not forgetting avocados. It's only that we work silentlyKuna story za GDP kwamba kenya wana GDP ya mchongo nk,vitu vipo wazi kabisa...ili Tz tufikie GDP kama ya ke lazima tutumie vizur fursa zote tulizonazo..lakini cha muhimu zaidi ni kuelekeza fedha nyingi kwenye mambo ya kijamii zaidi ili kuboresha maisha ya watz wengi ...
Inashangaza sana wanatuzidi hadi MAPATO kwenye sekta ya kilimo no matter how hard we've tried they're doing better than us...Humu ndani facts zinachukuliwa simple sana,imagine ke wanatuzidi hadi matumizi ya umeme na bado mtu anahoji GDP ya mchongo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
GDP ya Algeria-$151.56 billion,4th largest in Africa.Gdp ya Algeria na libya ni ndogo sana kulinganisha na gdp ya kenya lakini maendeleo ni makubwa sana ambayo itaichukua kenya miaka 70 kufikia hapo.
Hahahaha eti service dominated, ni services zipi mnazoziuza nje ya nchi na kuwaingizia billions of dollars kwenye GDP yenu?GDP ya Algeria ni oil dominated sio kama ya Kenya ambayo ni service dominated. Kenya haina madini. View attachment 2109142
Hata kwa akili yako do you think the picture you have posted can stan wetlands?🤣🤣🤣Najua akili yako imejaa mafiii ila jitaidi kupunguza githeriiView attachment 2108207
Kenyan GDP is generated by hardworking Kenyans both home and abroad.............countries like tz where its citizens sit on mkekas the whole day gossiping about kenya can not growHahahaha eti service dominated, ni services zipi mnazoziuza nje ya nchi na kuwaingizia billions of dollars kwenye GDP yenu?
Elimu yenu mavi kweli 🚮
Mumshukuru Mzungu kwa chai na maua yake!
Nimekuuliza ni services zipi kutoka Kenya zinauzwa nje kiasi cha kuwaingizia lots of foreign exchange zaidi ya chai na maua ya Mzungu (settlers agriculture)?Kenyan GDP is generated by hardworking Kenyans both home and abroad.............countries like tz where its citizens sit on mkekas the whole day gossiping about kenya can not grow
But output au uzalishaji ukiwa mkubwa na makusanyo ya kodi huongezeka matokeo yake kodi huenda kuendeleza huduma za jamii na miundombinu mingine sasa kama GDP ni ya ukweli vitu vitaonekana on the ground ila hawa jirani zetu wamekuwa na stagnation kwenye exports na tax collection kwa mda mrefu halafu cha ajabu GDP ime tripple to 102bn ukifanya analysis mazingira yaliyopo hayaendani na GDP growthnigeria nadhan ishu ya mafuta inawabeba.. if that’s the case, nadhan uganda yao itapanda sharply.. sasa imagine ikipanda afu angalia mazingira yao yalivyo sasa!
nadhan GDP tuseme ni output ya vitu vinavyozalishwa (production’s output) na sio uhalisia au maendeleo ya wananchi on the ground.. that’s why they say GDP is not edible

Those Tz companies on the list are public listed companies but we have several larger ones that are not public listed.No one in this world publishes everything......but from the scratch surface you cant make everything up