Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Noma.....
Screenshot_20220206-114344_Facebook.jpg
 
hapo kidogo umechemsha tuusan. outside of nairobi,... also mombasa city and nakuru as a county, plays a very crucial role as far as kenya's economy is concern. of $106b, nairobi contributes less than $30b, the rest distributed among other cities and counties..

economic activities in mombasa city for example 👇🏽 View attachment 2109856View attachment 2109860View attachment 2109861View attachment 2109876

nakuru for example 👇🏽 View attachment 2109875View attachment 2109878View attachment 2109877

tea in kericho.. 👇🏽View attachment 2109883

masai mara in narok county👇🏽View attachment 2109892
Ur fellows were saying Nairobi GDP is $46 bln!
 
Ati Kisumu international airport without a cold/fresh cargo terminal! 🤣🤣🤣🙄🙄🙄
 
😂😂😂 Vidaraja hivi vya kipuuzi vipo kila kona ya Tz hapo DSM yenyewe vipo kibao, hatuviweki humu kwasababu sio zile vitu za world standard. heb jionee 👇..kwa hapa EA kwenye suala la madaraja hatuna mpinzaniView attachment 2106127View attachment 2106129. .View attachment 2106260View attachment 2106264View attachment 2106266

Ulizoziona ni za zamani, si mpya...hii yenu ni mpya si mbaya, lakini muundo wa kizamani.....tegea hapa tu uone yale makuu yanayokuja. Mteza bridge yenye urefu 1440m imeshikana na Tsunza bridge

Daraja liko fiti sana ila muundo wa kizamani kidogo, fanya utafiti uone miundo ya kisasa.. hizo za Mombasa ni za zamani. Daraja la Mteza 1440m limeshikana na Tsunza 660m zote zitakuwa tayari mwaka huu. Tegea uzi hapa uone Mambo.
 
wacha ujinga wewe muundo wa kisasa ndo upi huo as far as cable stayed bridge is concerned!? Hebu leta cable stayed bridge tofauti na hiyo!
 
Wangefanya njia nane mpaka chalinze alafu njia nne mpaka huko morogoro
Nafikiri kwamba kwa sasa hiyo idea ya barabara ya njia nne kuanzia kibaha hadi chalinze - Morogoro siyo mbaya sana. Itakuwa ni rahisi kwa baadaye kuongezea lanes nyingine 2 au hata zaidi kulingana na bajeti ya nchi. Jambo la msingi ni kuacha road reserve ya kutosha ili serikali iepukane na kulipa fidia baadaye.
 
I like how sabbatical told tanzanians that they are boring with their so called fluent kiswahili..........And how Kenya is an inspiration to Africa...........I bet tanganyika dimwits now hate him.......This is a neutral foreigner who spent 30 days in each country

This guy loved Tanzania more than any County, Katika Moja ya Video zake alisema Tanzania ndio nchi Pekee Africa iliyochukua Moyo wake.
 
Back
Top Bottom