Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,915
- 103,782
Wangefanya njia nane mpaka chalinze alafu njia nne mpaka huko morogoroKama zitakua nne nafkiri kutakua na Mini Flyovers na Bridges nyingi bila kusahau Service Roads. Bado itapendeza na Itapunguza Foleni sana. Hii barabara ikipanuliwa Vzr itaongeza Biashara na Pesa Nyingi sana.
hdi yet huwezi kujilisha! 🤣🤣🤣Idiots hamtawahi shinda Kenya.....get it in your headsView attachment 2108908View attachment 2108909
hdi yet huwezi kujilisha!![]()
Hizo ni zile kubwa tu bado atujajua zote ni ngapi
Kuna watu wamekaa ofisi za ardhi na hakuna kazi wanayofanya...imagine apa pangepimwa pakapangwa vizur hata kama nyumba duni lakini pangependeza...Brt was a good idea but now the slum or uswazi problem in dar......should it be ignored. View attachment 2108619
Baada mwl nyerere kuyasema hayo yotee akamalizia na " kenya is the man eating man" wewe unafikili ni kwanini?namdhamini na kumuenzi sana mrh. mwl. julius kambarage nyerere, sababu aliidhamini sana kenya, hata kuupaka aina yote ya rangi!,.... mara alitaja kenya kama 'ulaya',... mara kaitaja kama 'uzunguni',... mara nairobi kama 'half london'. etc.
mwalimu nyerere hoiye!!your legacy lives forever!... continue resting in power..
hizo ni zako budaBaada mwl nyerere kuyasema hayo yotee akamalizia na " kenya is the man eating man" wewe unafikili ni kwanini?
💯✔umesema vilivyo🔥Ukiangalia kwa upana kwa nini kuna tofauti jibu ni simple tuu,Kenya na Tzn tuna watu wengi compared na wao kwa hiyo huduma za jamii zinachukua pesa nyingi..
Pili tuna eneo kubwa ambalo ni habitable wakati wao Wana eneo dogo ambalo ni habitable sehemu kubwa ni majangwa kwa hiyo side huku EAC Tunatakiwa kutawanya maendeleo eneo kubwa wao yako concentrated maeneo madogo kwa mantiki hiyo lazima wawe vizuri..
Hoja ya sijui ardhi nzuri ya kilimo mara madini haina mashiko Sana kwa sababu wao Wana mafuta na gas ambayo ni madini yanayohitajika kwa wingi zaidi kulingana na umuhimu wake..
Ila vitu kama hivi kwa TZ vinakua part ya terminal ila majirani wakiongeza kicorridor tu wanakiita termnalThis thing is ugly at least now is having a facelift!