Wazo zuri sana .Nilikuwa na wazo..In future like 2030 and on...ijengewe SGR ya ku link Dodoma (Govt Capital na Arusha hadi Moshi..kushuka Tanga Port...hii itafanya bandari ya Tanga kuwa linked na SGR ya central line
Nafikiri serikali itafute mwekezaji wa kujenga kipande cha tanga -moshi - arusha—dodoma yenyewe ichukue hisa itapata wawekezaji Wengi wakujenga Na hio ifanyike Kwenye kipande cha tabora -kigoma na isaka - rusumo.

GDP ya karatasi isikutie uchizi huu.. this is Tripoli libya 


