The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Ukiangalia kwa upana kwa nini kuna tofauti jibu ni simple tuu,Kenya na Tzn tuna watu wengi compared na wao kwa hiyo huduma za jamii zinachukua pesa nyingi..GDP ya hao Libya,Algeria zimekaribia ya kenya????
Kenya tuko poa tutakapofikia GDP ya hao majamaa tutakuwa noma kuwaliko!
Lakini swali ni hili
Tanzania na ambavyo mko wengi,Rotuba nzuri na bado Ukubwa huo wote wa Nchi yenu😂😂😂😂
Swali ni hili!
Mko na GDP ngapi??
Dar imeshinda Rwanda kwa ???
Hizo nchi mlizoleta picha yazo je zinafanana na daresalam ama hata kukaribia???
Mombasa yenyewe inakibizana na Dar! Dont joke with Nairobi wwe bado hamjafika!
Pili tuna eneo kubwa ambalo ni habitable wakati wao Wana eneo dogo ambalo ni habitable sehemu kubwa ni majangwa kwa hiyo side huku EAC Tunatakiwa kutawanya maendeleo eneo kubwa wao yako concentrated maeneo madogo kwa mantiki hiyo lazima wawe vizuri..
Hoja ya sijui ardhi nzuri ya kilimo mara madini haina mashiko Sana kwa sababu wao Wana mafuta na gas ambayo ni madini yanayohitajika kwa wingi zaidi kulingana na umuhimu wake..


