Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Awesome DAR .. sio mji wa china ni DSM nyie wakunyaView attachment 2106571
Middle class tanzanians living well......pretending on this thread with cosmetic attitude lol
2209122_Screenshot_20191110-193507.jpg
 
Mkuu miradi iliyojadiliwa siku za nyuma ni Kigamboni bridge ikaja BRT mbona wakati huo JPM hakua Rais.Engine ya ujenzi TZ alikua mfugale ila kama hakuna waliojifunza vizuri toka kwa mfugale tutapata shida hasa kwenye bridge.Tz ilikuwepo na itaendelea kuwepo
Tzn hii ina wahandisi wengi Sana,huyo Babu yenu alikuwa anasinzia tuu uzee umemzidia..

Kuanzia kwenye sgr,Bwawa la Nyerere na miradi mingine ya madaraja umewahi kumuona mfugale ndio yuko site?..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]this is [emoji117][emoji205][emoji205][emoji205]and this is[emoji117]monkey shit[emoji90][emoji90]
We ni wa kupuuzwa tu, km kawaida yangu unapoanza ujinga nashika hamsini zangu
 
Back
Top Bottom