komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wangelidondoka wafe unafikiri vyombo vya dola wangeliwaacha hao majamaa.Hawa jamaa hovyo kabisa, siyo sahihi kuwapiga hao watoto, walitakiwa kwanza kuwapatia msaada.
Kupigwa ilikua sahihi kabisa mzee, hyo ni hatari sana..
Hapo serekali imekaa kimyaa km hawajaona vile, lkn emu ingetokea wafe mzee gari kwanza linasekwa ndani mpewe kesi ya kujibu..
Kwnn hamkufanya ukaguzi pale pindi mnaondoka





.