Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huyu ni mtu munafaa kucheka na kuondoka tu 🤣🤣🤣🤣🤣

tunasubiri kwa hamu kuonesha hzo interchange in mombasa na ikiwemo three level interchange atuoneshe pia 😂😂😂

anafananisha cable stayed bridge na vile vi bridge vya 300m hahahaha jamani mpimeni mkojo huyu

alaf walipoona nairobi imenyewa sasa wanaakuja na proposal hii ili wajifariji lakini ukweli ni kua hakuna nchi leo inawanyima usingizi kama tanzania 😂😂😂😂😂
Now let`s do bridges.

1. Mteza Bridge 1.4km
1641973919448.png

1641973997447.png


2. Mwache Bridge 600m
1641974142306.png

1641974176581.png


3. Makupa Bridge 457m
1641974345800.png
 
ndio nakujibu sasa zanzibar ipo miaka kenda na zanzibar inahudumia meli za trasshipment nyingi sana mpaka za south africa

yani leo nimecheka sana 😂😂😂😂
Zanzibar haiumii meli za transhipment acha uongo😂😂😂
 
Tunademka na mikopo tu 🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️

Hivi mbona hawa WB wanamsukumia mikopo hivi awamu hii, utafikiri ndio wanaiona Tanzania leo, yetu macho 🙄

Tozo tulizoambiwa za kujenga barabara 🤔


Ni ufadhili huo mkuu sio mkopo
 
hio ndio interchange 🤣🤣🤣🤣 nakwambia changanya mombasa na nairobi kwa pamoja hata nusu ya dar hamukaribii

na haya maneno nayazungumza nikiwa nazijua mijiz zote hzo sio kwa kuambiwa 🤣
Mombasa ndio dawa ya Dar, soon Dar itabaki inashindana na Nakuru, Kisumu and Eldoret🤣🤣
 
Back
Top Bottom