Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa imeshinda Dar kwa infrastructure.
1. Mombasa has three interchanges, Dar has two.
2. Mombasa has four flyovers, Dar has one.
3. Mombasa has four bridges, Dar has three.
4. Mombasa has a functioning SGR, Dar has none.
5. Mombasa has a port handling 34M tonnes a year, Dar has a port only handling 16M.
6. Mombasa has shipyard, Dar has none.
7. Mombasa has floating bridge, Dar has none.

The only infrastructure Dar inashinda nayo Mombasa ni BRT.
huyu ni mtu munafaa kucheka na kuondoka tu 🤣🤣🤣🤣🤣

tunasubiri kwa hamu kuonesha hzo interchange in mombasa na ikiwemo three level interchange atuoneshe pia 😂😂😂

anafananisha cable stayed bridge na vile vi bridge vya 300m hahahaha jamani mpimeni mkojo huyu

alaf walipoona nairobi imenyewa sasa wanaakuja na proposal hii ili wajifariji lakini ukweli ni kua hakuna nchi leo inawanyima usingizi kama tanzania 😂😂😂😂😂
 
Mombasa imelemea Dar to a point that unaitisha usaidizi kutoka Zanzibar?🤣🤣🤣
yani mombasa hata kwa mwanza kwenye modern city haifui dafu wachilia mbali dar ambayo nairobi imetokwa na ushuzi 😂😂😂
 
huyu ni mtu munafaa kucheka na kuondoka tu 🤣🤣🤣🤣🤣

tunasubiri kwa hamu kuonesha hzo interchange in mombasa na ikiwemo three level interchange atuoneshe pia 😂😂😂

anafananisha cable stayed bridge na vile vi bridge vya 300m hahahaha jamani mpimeni mkojo huyu

alaf walipoona nairobi imenyewa sasa wanaakuja na proposal hii ili wajifariji lakini ukweli ni kua hakuna nchi leo inawanyima usingizi kama tanzania 😂😂😂😂😂
Let`s start with interchanges.

1641973299635.png

1641973410296.png

1641973508067.png
 
ww unajua maana ya transshipment au hata elimu ya meli unataka kujifanya unaijua manake hakuna elimu usioijua ww mr engineer 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwani hujui kuna transshipment ya meli kutoka djebout kuja mombasa au nikupe ushahidi
Mimi usinililie tafahali. Zanzibar can`t survive without Lamu port.😂😂😂
 
Hapo mombasa ishachapa Dar bao🤣🤣🤣
hio ndio interchange 🤣🤣🤣🤣 nakwambia changanya mombasa na nairobi kwa pamoja hata nusu ya dar hamukaribii

na haya maneno nayazungumza nikiwa nazijua mijiz zote hzo sio kwa kuambiwa 🤣
 
Back
Top Bottom