Opportunity cost yupo na siyo Mimi sijawahi badili identity,jiepusheni kukoment negatively or positively kwenye vitu msivyovijua, mliongea mengi kilipooneshwa kile kichwa baada ya kujua matumizi mmepoteana,wengine tulitulia kusubiri maarifa zaidi.No research No right to speak.Wee ndiyo yule yule opportunity cost tunakujua mzee.
Njombe kuna wapemba siku hizi🤣🤣🤣We mpemba acha upuuzi
Just accept and move on.
Inawezekana mumetushinda kwenye production ila bado production yenu haijafika 11 million MT. Either way, hata kama mumetushinda, sio kwa mbali kama wanavyosema eti 11 million MT. Nyie pengine mnaproduce 8 au 9 million MT wakati Kenya tunaproduce 7 million MT. Tofauti ni kidogo sana japo nakubali inawezekana kwamba mumetupiku.Ila truth to be said there is no way mnaweza mkawa mbele yatu iwe production capacity au actual production! Yaani sahau hilo! labda kwa media propaganda!
We Kenyans believe in investing....not saving[emoji18][emoji18][emoji18]
View attachment 2105797
Una save pesa benki ikifanya nn mzee, ndio manake wahindi wananeemeka kupitia savings zenu..[emoji18][emoji18][emoji18]
View attachment 2105797
[emoji23][emoji23] wengine bado wanangoja construction board ndio waamini expressway inajengwaHawa watu watkuroga bana, wewe hujui tu venye hawapendi hizi views za Nairobi with Expressway[emoji1787][emoji1787]
Wakitaka kuujua ukweli waje kw mambo na transactios like mobile bankingWe Kenyans believe in investing....not saving
[emoji18][emoji18][emoji18]
View attachment 2105797
Tulia mzeetoa mbuga yako apa, au unachokoza nyuki nikuletee za bongo. Tena tofauti na CBD zones.
Ujui dunia inapigana na climate change kwa kupanda miti au miji kama dar-is-a-slum izame maji. Low iqtoa mbuga yako apa, au unachokoza nyuki nikuletee za bongo. Tena tofauti na CBD zones.
tuletee miradi ya serikali yenu sio miradi ya mchana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulia mzeeView attachment 2105858
mchina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atawauwa
Kwa hiyo madaraja, sgr, brt, mashule etc sio zenu sababu ni aid? [emoji23] wacha kutumia kichwa kama roundabout ya upepotuletee miradi ya serikali yenu sio miradi ya mchana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]